Ofisi za DHL kwa Dar es Salaam ziko wapi?

Grena

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
657
1,543
Habari zenu wakuu

Msaada wakuu kwa anayejua ofisi za DHL zilipo kwa Dar. Nimejaribu kuangalia Google maps lakini sielewi.

Namba yao ya customer care waliyoiweka kwenye website yao ukipiga inasema namba haipo.
 
zpo airport kama unaelekea gongo la mboto mkono wa kushoto. zingne zpo posta.
 
Wapo Barabra y Coca-Cola ukitokea mwenge ,kama unaingia Coca Coca-Cola kulia utaona ofisi zao.Pia mjini pale opposite na makao.makuu ya NMB mataa upande wa
 
Asante mkuu
 
Habari zenu wakuu

Msaada wakuu kwa anayejua ofisi za DHL zilipo kwa Dar. Nimejaribu kuangalia Google maps lakini sielewi.

Namba yao ya customer care waliyoiweka kwenye website yao ukipiga inasema namba haipo.
Wana ofisi pia posta ile jirani na holiday inn
 
Habari zenu wakuu

Msaada wakuu kwa anayejua ofisi za DHL zilipo kwa Dar. Nimejaribu kuangalia Google maps lakini sielewi.

Namba yao ya customer care waliyoiweka kwenye website yao ukipiga inasema namba haipo.
Umesha pigwa ndugu.umeambiwa uende ukafuate mzigo uliotumiwa na mtu mliyekutana naye face book siyo.na umeshalipia zile laki nane zao,si eti?
 
Jamaa ni wasengerema wale! Ila wanapata SANA hela. Coz wapenda deals too good to be true hawaishi.
Wanaweka na picha za mdhungu na mizigo ya iphone, Gucci na laptop!

Everyday is Saturday............................... :cool:
 
Wako maeneo mengi sana, posta jengo lililomkabala na benki ya mkombozi, wapo karibu na kituo cha kisutu cha mwendokasi, wapo pale airport.
 
Thanks. Hawana branch zingine zaidi ya Posta na Airport ?
Kama umetumiwa mzigo nenda Airport ya zamani,ingia geti kama unaelekea Swiss port
Lakini kushoto kuna njia kuelekea ofisi za DHL
Nenda na tracking #,tin #,ubebe na kiasi cha pesa(kodi)just in case
Kwani DHL hawajakupigia sim kama mzigo wako umefika?

Ova
 
Umesha pigwa ndugu.umeambiwa uende ukafuate mzigo uliotumiwa na mtu mliyekutana naye face book siyo.na umeshalipia zile laki nane zao,si eti?
Watu mnapenda kujipa majibu ya vitu ambavyo havipo. Nataka nitume mzigo wangu kwenda nje na DHL.
Huo utapeli wa kizamani Sana, nlidhani hiyo mbinu ishakufa.
 
Back
Top Bottom