Habari ndugu zangu.
Kwa kufipi leo napenda kuleta maada hapa..kuhusu vitengo hivi viwili kwenye sekta au mashirika ya serikali.
Na maada yenyewe ipo Katika mfumo wa maswali Kama ifuatavyo;
Je uwepo wa ofisi ya rasilimali watu ( Human resource office) inamanufaa yoyote kwa wafanyakazi Katika taasi husika?
Pili. Nini matatizo ya ofisi ya manunuzi (Procurement office) sehemu unayofanya kazi, AU uliyowai pita?
Tatu, Nin kifanywe na serikali/ taasisi kuzifanya ofisi hizi zifanye kazi kwa weledi, umakini na viwango?
Binafasi nafikiri ofisi mbili sehmu nyingi ni majipu.
Kwa Uzoefu wangu mdogo, ofisi ya rasilimali watu haina tija yoyote kwa wanyakazi,ni ofisi inayotesa wafanyakazi.
Mambo au masilahi mengi ya wafanyakazi hukwamishwa na ofisi hii.
hii ni kinyume na ethics za professional hii.
Ni nn maoni yako?
Karibu tuelimishane