Official "DECLARATION" results from ErickB52 family to Amyner.

na hii mimba ulonipa, umemwambia Amyner?
na umemuelezakuwa jumamosi tumefunga ndoa serikalini?
umemwambia kuwa nimeridhia yeye kuwa mke mkubwa?
ile zamu tuliyopanga umemfahamisha?

Judgement thanks kwa kuiwakilisha familia vema...
Amyner amesema yuko tayari kubadili msimamo ila atanujulisha
 
Last edited by a moderator:
na hii mimba ulonipa, umemwambia Amyner?
na umemuelezakuwa jumamosi tumefunga ndoa serikalini?
umemwambia kuwa nimeridhia yeye kuwa mke mkubwa?
ile zamu tuliyopanga umemfahamisha?

BT, Kama kamjusi kameshaingia hilo wala si tatizo, that's clan expantion!
Ngoja liishe hili , lako linazungumzika! Ukoo wa kichifu si unaelewa mila na desturi zake? Hautupagi damu asslan.
 
Last edited by a moderator:
na hii ndoa tuliyofunga jumamosi? nayo inazungumzika?

Back
Top Bottom