Ofa kabambe ya mwaka mpya.Wahi sasa,

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Hellow wanajf,I hope wote mko poa kabisa baada ya sikukuu ya xmas.
Sasa kuna ofa kabambe ya mwaka mpya.Kwa yeyote anaetaka kampani yangu siku hiyo aniPM haraka iwezekanavyo ili aweze kupata namba yangu itakayomsaidia kurahisisha mawasiliano baina yake yeye na mimi.
Wahi mapema siku zimebaki chache.
Ahsanteni
 
tuta-DO?
Au ndo hapa stori tu, kula kwenu?
 
Ngoja nikupm naweza nikabahatika! kuna haja ya kujieleza sana huko pm? au ni kuomba mawasiliano tu?
 
Back
Top Bottom