Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Idume Yene uliwaza nini? Ha ha haa jamaa anaonekana kama vile yuko Zaria!
Wasije jamaa wengine wakaanza kusema huyu jamaa si raia......nitacheka sana.
Rais wa zamani wa Nigeria Bw. Obasanjo ameonekana mkoani akikampenia CCM.
Ahhh ahaha kumbe ni naniii wa SISIEMU.
Rais wa zamani wa Nigeria Bw. Obasanjo ameonekana mkoani akikampenia CCM.
Ahhh ahaha kumbe ni naniii wa SISIEMU.
Ahahahahaaaah jamani tafadhali huu utani mwingine uwe na mipaka! lolUkipenda kuvaa haya majinguo mengi lazima utasahau kuvaa chupi :eyebrows:
hii ni nigeria bana... wana rangi za kijani piaRais wa zamani wa Nigeria Bw. Obasanjo ameonekana mkoani akikampenia CCM.
Ahhh ahaha kumbe ni naniii wa SISIEMU.
ingekua bongo ungeona akina mama wengi mbele na vilemba na khanga na watoto wa shule wameshonewa magwandahii ni nigeria bana... wana rangi za kijani pia
Sio Nigeria ni Bongo, na huyo ni mgombea mwenza wa sisiem!hii ni nigeria bana... wana rangi za kijani pia
hahaaaaaaaaaaaaaa.... kweli nimepatikana!!!Sio Nigeria ni Bongo, na huyo ni mgombea mwenza wa sisiem!