Obama Official Presidential Portrait, ana vidole 6, ni illuminati mpinga Kristo!!!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Hii ni Official Presidential portrait ya Obama kutoka kwa Mchoraji ambaye ni gay Wiley Kehinde ambayo inamuonyesha mpinga Kristo Obama akiwa na vidole sita, angalia mkono wake wa kushoto aliovaa saa utagundua kwamba ana vidole 6, cha sita kimejificha, ...


180212113953-special-cut-barack-obama-portrait-exlarge-169-699x1024.jpg


Picha kamili na mke wake Michele Obama!
cZRszx9-



Moja ya kazi za Msanii/Mchoraji ambaye ni gay Wiley Kehinde ambaye Obama amemchagua kuchora Picha zake, hapa moja ya Picha alizochora Mwanamke wa Mweusi akikata kichwa cha Mwanamke wa Kizungu!
DV2q3ToX0AAYTnm.jpg


Wiley-2.jpg


Kazi za Kehinde Wiley ambaye ni gay, hapa akionyeshesha Waafrika magay!

alain_tala_teddy_siemogne.png


larger.jpg


Gay Kehinde Wiley!

Mannschaft-kehindewiley-770x578.jpg
 
Thread inaendelea au ni mwisho? Mbona mi naweza kukuchora una vichwa viwili kimoja kikubwa kingine kidogo
 
Sasa mkuu kama kimefichwa wewe umekionaje? Kila mtu awke hadharani vitu vilivyofichwa?
Na haya mambo ya mpinga kristo sijui vidole sita yametoka wapi? Vidole vyake sita vinahusiana nini na mpinga kristo?
 
Hiyo ni picha ya kuchora, angeweza kuchora hata vidole kumi hapo; mbona hujasema hata pua yake ina kipiramid?
 
wafuasi wa ccm ni shida.. hivo vidole alipokuja hapa bongo havikuonekana? na picha yenyewe imechorwa wakati mtu anaonekana katika kamera nyingi za vyombo vya habari na hatujawahi kuona
 
WATANZANIA NA IMANI ZA KISHIRIKINA BALAA. SASA ULISHASEMA NI MCHORO. MCHORO UNA UHUSIANO GANI NA VIDOLE HALISI VYA OBAMA. OBAMA KILA SIKU TUNAMWONA NA ALISHAKUJA HADI HUKU TZ, ANA VIDOLE KAMA VYA BINADAMU WENGU. MCHORO HUO UNAHUSIKAJE NA YEYE.
 
Back
Top Bottom