Obama atakuja na zawadi

Ni kweli ataleta zawadi za kumwaga mbungu limbukeni huyo
anatetemekea zawadi ya chandarua, dawa za kupunguza makali
ya ukimwi, condom, wakati wazungu wanachota almasi, dhahabu, uranium,
na umeme kwao haukatiki ovyo kwa kutumia rasilimali zetu kwani hivi vitu cc tunashindwa kuagiza? yani Mungu ibariki tanzania na watoto wetu wasijekua vilaza kama masisiemu

 
Sijui ni lini Taifa hili litarudi kwenye heshima yake ya zamani. Hivi kama ulimpigia kura Mbunge kama huyu unajisikiaje moyoni?au wanao wanajua huwa unamuunga mkono huyu mbunge?
Ni aibu kweli.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mhaya ni mhaya tu hatobadilika ... Anatetea kumiliki NOAH lol!

huyu kwa kweli ni aibu kubwa kuona kabila kama la wahaya at least the ones i know are extremely intelligent kumchagua kiumbe kama huyu lazima katiba itupe option ya kuweza kum recall mbunge mara mnapomuona hawafai. at least uwe umetumikia 25% ya kipindi chako na petition signatories must be 50% of all legal voters. when the two conditions above are met you can be recalled.
 
Back
Top Bottom