Obama ampiga rais Mseven mkwara mzito

Wakati bunge na raia wengi wa Uganda wasioafikiana na ndoa za jinsia Moja wakimsubir Rais Yower K Mseven asain Mswada wa sheria kali uliopitishwa na Bunge kupinga kabsa Ndoa za jinsia Moja,Rais wa Marekan Obama amemtisha Mseven na kumwambia akisaini basi ushirika wao utapungua kwa kias kikukwa,ikumbukwe kuwa Marekan imejitolea kuisaidia Uganda kupambana na waasi na Bajeti yao pia inategemea misaada toka marekani.

Swali langu kwenu wana Jamvi,
Je Rais mseven atakubali Umaskin afu ahalilishe USHOGA?

Na kwa nchi kama Tz tunaotegemea Foreign Aid ikitokea ktu kama hyo Rais aliyepo ataamua kuruhusu au n bora tushindie Uji wa mtama ski nzima kulko halalisha huu wendawazimu?

Nawasilisha kwenu wanajamvi na wale wanaojiita Haki za Binadamu waje waeleze ndo nn hik wanataka dunia iamini ktk?

Source: East Africa Radio news

Yan dah ninavyoona kikwete akichimbwa mkwara kama huo lazma akubali
 
Kwani ushoga na usagaji
Tanzania haupo? au ndio mnapenda kujifichaficha!! mwambao wote wa
Tanzania hadi kule visiwani wamejazana, harafu tunajifanya kuwashangaa
Marekani.

kwa hiyo unataka wabunge wakae kupitisha kwenye katiba watu wafirane kwa kutumia kodi zetu? hao wanaofanya waache hata kabla ya tanzani kuwepo watu wa aina hiyo walikuwepo lakini hatuwezi kuhalalisha upumbavu.tutapinga huu ushenzi mpaka mwisho ili kuokoa vizazi vyetu.
 
Mtakubali tuu Kama makaburu
walivyo salimu amri,hao ------- wengine ni kaka na dada zenu na sio Siri
------- walikuwepo wapo na wataendelea kuwepo tuu,sijui shida yenu nini
muwafunge na kuwanyanyasa ?na kila mtu Ana dini yake so pls
msilazimishe Imani zenu kwa wengine and URT is not theocracy or any imam
state iis a republic ,na mlivyo na njaa na ujinga gays lazima wapate
equal rights like everybody

-------- kabisa wewe unaetegemea fikra za wazungu aliyekwambia waafrika tunashindwa kujitegemea ni nani hadi tukubali ushenzi ili tu tupatiwe misaada? unaonekana unaishi kwa kuwaosha wazee huko kwa wazungu na kugeuzwa mwanamke ndio maana unaongea pumba.
 
Yaan haya mashoga siyapendi mie,yangehamia yote Marekani yakaishi na Obama wao
 
Ushoga Afrika kwa maslah ya nani?? Hawa Wamarekani wameona sisi hatuna kingine tunachohitaji isipokuwa ushoga tu?? Kwanini wanatulazimisha?? Hivi na sisi kwanini tuendelee kutegemea misaada? Kwani Marekani hapo ilipofikia ilisaidiwa na nani? Namkumbuka sana Nyerere na falsafa zake.
FEDHA SIO MSINGI WA MAENDELEO
 
Tanga, Dar, et al mashoga wamejaa kibao na wanazidi kuongezeka. Ni bora kukaa kimya kuliko kusema no or yes. Hah hah
 
Zamani nilikuwa nasoma kwenye Biblia jinsi wale wasodoma walivyowatamani wale malaika waliokwenda pale kwa sura ya wanaume wenye ndevu. Na sasa historia inajirudia, na hukumu iliyotolewa itajirudia....!!!!!
 
Sikiliza Ibambasi, mtu anafanya nini na nani sio issue, issue ni pale unapolazimisha upewe haki!!!Kama maisha binafsi hayamuhusu mtu mwingine kwanini unalazimisha kutambuliwa kisheria? Si uendelee hivyo hivyo!!.Ms*ng* atambuliwe kama mwanamke?? wakati ni mwanaume ndio haki hiyo?? Mwanamke ni mwanamke na mwanaume ni mwanaume period, Unafiki ni kulazimisha mwanaume aitwe mwanamke(aolewe)!!!.

Mkubwa,

Hao watu hawajaombwa watambuliwe kama wanawake na kinyume chake pia. Wanachotaka kwa jinsi ninavyosoma media, ni kuwa watambulike kisheria kwa maana ya kwamba wasichukuliwe kama wahalifu/wavunja sheria. Ndivyo ninavyoelewa madai yao.

By the way, kwani hata wakiandamana watambuliwe kuwa wanawake & kinyume chake, personally wanakuwa wamekufanyia/sababishia madhara gani?
 
nimeusoma ule mkwara aliyopigwa mzee m7,mzito kweli! Dakika kadhaa mwenyewe akasema anatoa majeshi yake south sudan!
 
Mkubwa,

Hao watu hawajaombwa watambuliwe kama wanawake na kinyume chake pia. Wanachotaka kwa jinsi ninavyosoma media, ni kuwa watambulike kisheria kwa maana ya kwamba wasichukuliwe kama wahalifu/wavunja sheria. Ndivyo ninavyoelewa madai yao.

By the way, kwani hata wakiandamana watambuliwe kuwa wanawake & kinyume chake, personally wanakuwa wamekufanyia/sababishia madhara gani?
Mkuu Salaam,
Ndoa manake ni mwanamke na mwanaume, Na sio mwanaume na mwanaume, hivyo wanapotaka kutambuliwa kindoa manake wanataka watambulike kuwa kuna anayetumiwa kama mwanamke.
Kuandama kwa ajili ya kutambulika hivyo ndio maadili yetu sisi waafrika(watanzania)? madhara yapo katika jamii tena makubwa tu, watu wataona huu ni ustaarabu wa kisasa na ni rahisi kuongeza madhara zaidi, hata kama ushoga ulikuwepo toka zamani lakini hayo ni maisha binafsi ya mtu, hayamuhitaji kuandamana ili wau wajue kuwa yeye ni shoga.
 
Nikuulize maswali machache tu:-

Unasemaje kuhusu wanaume wanaowageuza wake/wapenzi wao wa kike zao na kuwalawiti? Hapo mwanamke anatumikaje kama nani?

Maadili yetu waafrika (watanzania) ni yapi?

Madhara katika jamii ni yapi?

Binafsi niko "very indifferent" na hao watu. Mtu anavyoishi maisha yake mimi wala hainihusu kabisa mradi hanidhuru, haniibii, haniingilii maisha yangu au kunitendea madhara katika mwili, mali, familia na uhai wangu kwa ujumla.
 
Umeshindwa kusamarize kazi yako?
 
Kuna ka thread humu ka kumpongeza M7 kuhusu huo msimamo wake. Mimi nilimpongeza pia lakini nikaweka angalizo kuwa huo msimamo hauwezi kudumu kwa sababu walioshikia kidedea hayo mambo ndio hao wanaowaomba msaada kila siku. Yako wapi sasa!!! From Europe Mwafrika ukatae who are you??
 
Kuna ka thread
humu ka kumpongeza M7 kuhusu huo msimamo wake. Mimi nilimpongeza pia
lakini nikaweka angalizo kuwa huo msimamo hauwezi kudumu kwa sababu
walioshikia kidedea hayo mambo ndio hao wanaowaomba msaada kila siku.
Yako wapi sasa!!! From Europe Mwafrika ukatae who are you??

sijakuelewa msimamo wako sasa unamaanisha kuwa mwafrika hawezi kuishi bila ya mzungu au unataka kusemaje?
 
Biblia imeandika vizuri kuwa Hawataenda Mbinguni wafiraji, walawiti.... soma 1corinto 6:9
 
Museveni akifungiwa na us,Canada and EU njaa itawamaliza wataanza civil war wamalizane wenyewe na atakayeshinda ni Yule atakayekubaliana na hao wazungu..bora kuwa Kama kikwete aliyekataa kujadili hii issue
 
sijakuelewa msimamo wako sasa unamaanisha kuwa mwafrika hawezi kuishi bila ya mzungu au unataka kusemaje?
upewa

Of course hawezi,Kama 50 percent of your budget unasaidiwa then loans,export etc unategemea kwao ..Africa bado sana na Hata hiyo Internet unayotumia unaweza kupewa blackout wakitaka ni yao nyie mnalipia tuu
 
Back
Top Bottom