Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,786
Raia wa USA walizoea kuangalia tu kwenye TV jinsi Jeshi lao linavyosurubu raia wa nchi nyingine oversees, sasa kama wenyewe wasemavyo chickens coming home to roost, baada ya raia wa USA aliyetokea kuwa na rangi nyeusi kama mimi na mwenye asili ya kwetu Afrika kupigwa risasi kwa mara nyingine tena na Askari wa USA ambao kwa kawaida wanapaswa kumlinda, Raia wa USA wameingia barabarani kupinga, Polisi wa USA wamezidiwa na sasa Jeshi la USA (National Guard) limeagizwa kufanya kazi ya kusurutisha raia wa USA!
National Guard of the United States - Wikipedia, the free encyclopedia
Gavana wa Jimbo la North Carolina Patt Mccrorry, ameagiza Jeshi kuingia barabarani!
Polisi wamezidiwa nguvu!
Wizi na uharibifu wa mali unaofanywa na waandamanaji raia wa USA hao!