Obama afanya tukio moja muhimu sana! Kutembelea Msikiti.

Status
Not open for further replies.
Kama raisi ambaye anania ya kujenga umoja ktk lake ilipaswa soon baada ya jupata madaraka angekuwa anajutana nao kama vile anavyokwenda kanisani,sasa a me subili awamu inakwisha then anakwenda je huyo anayeingia atakuwaje?

Hilo uliwahi kujiuliza kwa nchi kama Iran, Iraq au Afghanistan?
 
Baada ya sherehe za CCM kumalizika, Rais wa jamuhuri ya watu wa tanganyika nae atatembelea msikiti
 
We ni wa jinsia gani labda maana nina wasiwasi na comment yako.
 
OMG !!! Trump atasema B H Obama kakukumbuka madrassa !!!

MK254 Our god is one, our earth is one, Our Bloodhood is red..... "Alombora ni yule mbora kwa viumbe wenzake!!"
Zamiluni Zamiluni kama hivyo, mbona kuna mtu yuko radhi kuchinja na kukata kichwa binadamu mwenzie eti sababu hawezi kariri "shahada". Wanakuibukia halafu wanakuhoji kwa maswali kadhaa ya kidini na usipojibu sahihi basi kichwa chako hukioni tena maana kinakutana na upanga.
 
Mpendwa MK254 !! naomba sana nakusihi kama ndugu/jirani/mEAfrican... unjejipima na kujithamini kwanza kabla ya kujibu hilo hapo juu !!! Sina haja ya kubishana mchana wakati jua lipo juu yetu nasi wote tunaliona !!! KM:-
Both sides wanalazimisha !! (huyu mmoja anaLazimisha DEMOKRASIA yake...; huyu wapili anaLazimisha IDEOLOGY yake) !! sasa mimi na wewe ya nini kujihook au kuburuzwa nao ??

Stay in peace and peace upon you !!
 
Ndugu hujanielewa, naongelea kuhusu yanayotukumba hapa Kenya. Tunaibukiwa kwenye mabasi ya usafiri, kwenye bweni za vyuo, kwenye maduka ya biashara na wauaji ambao wanaotuhoji kwa misingi ya kidini na kutuulia mbali tusipojibu visahihi. Anyway, amani ndio tunaomba tu, dini inafaa kuwa chanzo cha amani.

Haya mchana mwema bro...peace.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom