Nyumba za NHC hapa mjini kwa serikali isiweke sheria wakapangishwa Walimu Madaktari na M-nurse

mlaniwe wote mnaotaka kulaniana na manofikilia kulaniana wakati hizi nyumba hazituhusu ni za wahindi kwani walinyanganywa enzi hizooo nyie mmekuja juzi mjini mnazitaka , kajenge zakwenu huko kibamba

Hizi nyumba ni haki yetu, walijenga kwa rasilimali zetu baada ya kutunyonya
 
Kwani mshahara wa madaktari ni sh ngapi? Basi ikiwezekana hata jina libadilishwe lisiitwe shirika la nyumba la taifa. Liwalenge masikini wa nchi hii ambao ni walimu, madaktari na manesi pekee.
 
Ndugu mimi ninae andika haya ni mtumishi wa umma najua vizuri kila kitu. Hebu tuone umuhimu wa kada tajwa kwa maendeleo ya taifa hili japokuwa sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu.

Hivi unadhani ualimu na udaktari diyo kada muhimu zaidi ya nyingine?? Fikiri vizuri.
 
Ndugu poteza muda kidogo kusoma kilichoandikwa ukielewe kisha toa maoni yako sio unakurupuka tu nakuandika unachofikiri dhidi ya kilichoandikwa na mwingine. nimesema sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu

Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?[/QUOTE
Mkuu, umeleta jambo jema na lenye maana sana kwa jamii yetu
 
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?

wazo zuri
 
Siyo lazima nielewe utakavyo, ungetaka nielewe utakavyo ungejitahidi kuelezea zaidi ya hapo.
 
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?
Utawasaidia nhc kujiendesha?
 
Kwani Shule hazina Nyumba zake au Hospital? mshafanya Ufisadi hadi mmekosa pa kuishi mnataka kudandia vilivyoundwa!

Kila mtu afanye kazi na kila sekta itajitegemea na faida na reward watapata waliojituma...kwa Kazi na sio Uzembe Saidia baba nenda Dodoma
 
Naunga mkono hoja,Hawa jamaa wanaishi miaka nenda rudi full kurithishana vizaz na vizaz,nahc ata hua wanaenda kujenga makwao uko
 
Ndugu mimi ninae andika haya ni mtumishi wa umma najua vizuri kila kitu. Hebu tuone umuhimu wa kada tajwa kwa maendeleo ya taifa hili japokuwa sina maana kuwa kada zingine hazina umuhimu.
hii madam tuliwahi kuichangia tukiwa darasani kama mojawapo ya ufumbuzi wa baadhi ya kero za walimu. Mfano pale ilala boma shule hii hapa national housing hizo hapo walimu wanakaa kipunguni Mara mbagala rangi Tatu. Serikali iweke utaratibu maeneo kama Yale wake walimu tu. Hawa wahindi wapelekeni goba huko
 
Utawasaidia nhc kujiendesha?

hata hao walimu watakuwa wanalipa kodi hivyo kufanya shirika lijiendeshe.
tatizo hizi nyumba zimekuwa za kurithishana na sio kupangishwa na nhc.
mtu akihama anatafuta mtu wake anampangisha.
kuna watu wametajirika kupitia nhc.
unakuta yeye analipa 100000 kwa mwaka lakini kampangisha mwingine kwa 200000 kwa mwaka.
kuna uhuni mwwingi kwenye upangishaji wa hizi nyumba
 
Sure, afu wahindi wakatiwe maeneo wajenge si wana uwezo? Hela zao kupeleka canada tu na india,
 
Ni dhamira tu inakosekana kwa kweli.

hii madam tuliwahi kuichangia tukiwa darasani kama mojawapo ya ufumbuzi wa baadhi ya kero za walimu. Mfano pale ilala boma shule hii hapa national housing hizo hapo walimu wanakaa kipunguni Mara mbagala rangi Tatu. Serikali iweke utaratibu maeneo kama Yale wake walimu tu. Hawa wahindi wapelekeni goba huko
 
Nina uchungu kama Ngosha....Magufuli.

Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?[/QUOTE
Mkuu, umeleta jambo jema na lenye maana sana kwa jamii yetu
 
Kwa Mishahara midogo na kazi katika mazingira magumu wakati mwingine mazingira hatarishi nafikiri ingewa motivate sana Walimu Madaktari na Ma-Nurse kama serikali ingeweka sheria kuwa hizi nyumba za shirika la Nyumba hapa mjini kati ambazo kodi yake ni nafuu ni vema tungewapendelea watumishi wa serikali wa kada hizo nilizozitaja kulikoni kuwaachia wafanyabiashara wa kiasia ambao kwanza wanakipato kikubwa na wana uwezo wa kukaa sehemu yeyote bila kuathirika kimaisha kutokana na sehemu kubwa ya kipato chao kutumika kwa usafiri na gharama zingine zitokanazo na kuishi mbali na sehemu zao zakazi. Vilevile hii ingewafanya watu kamawalimu kuona ni kwa kiasi gani tunawathamini.
Hili ni wazo wazo waungwana mnaonaje...?

Mnavyowadekeza hao waalimu na manesi utafikiri watoto yatima. Kwani peke yao ndio wanakutana na maisha magumu. Semeni watumishi wote waboreshewe maslahi, ukiondoa wa TRA, BOT na TPA ambao tayari maslahi yao ni makubwa kupita uwezo wao wa kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom