Nyumba ya Reginald Mengi kukumbwa na bomoa bomoa

Ivunjwe tu hakuna namna nyingine

tena naomba siku hiyo ya kuvunjwa mtangazaji mwenye kutaka sifa na kiherehere Spencer Lameck na yeye awepo akishuhudia bosi wake anavyosulubiwa kwa mamlaka ya ponsio pilato.
Nilijua tu,popoma umefuraaahi mwenyewe.
Unadhani atakubali kubomolewa kijinga?
Movie ndio kwanza imeanza,subiri uone.

anaweza akamegewa hiyo nyumba na vile vile hata bibie wake " akamegewa " vile vile kisela na asifanye chochote. mshaurini tu awe mpole na tunaenda kwa " mnafiki " mmoja baada ya mwingine hadi kwa aliyetengeneza filamu ya " kuzimia " mkoani Tanga na ya " siku ya usafi " wa barabara mkoani Mara.
Nilijua tu,popoma umefuraaahi mwenyewe.
Unadhani atakubali kubomolewa kijinga?
Movie ndio kwanza imeanza,subiri uone.

halafu nilitaka kusahau kwani mimi humu bado ni mgeni na kuna misamiati yenu hii mipya mnaitumia na umenitajia hapo. samahani mkuu " popoma " ndiyo kitu gani?
 
Mama rwakatare vipi ule mjumba alojenga pembezon ya bahari kwenye mikoko..wanamuogopa au
 
Nyumba zote zilizopo mabondeni zitavunjwa bila kujali mwenyewe ni nani ! Hatizamwi mtu inatizamwa location ya nyumba mahali ilipo! Kwa hiyo hii thread isilenge kuonyesha mtu fulani kaonewa

Kama unachoeleza kutendwa na wizara chini ya Lukuvi ni kweli jee lile hekalu la mama mch.Rwakatare mbona wanaliogopa na kuvunja za pembeni yake tu? Unaweza au waziri mhusika kutupa sababu?
 
Ina maana Mengi pamoja na hadhi yake, nyumba yake ipo eneo lisiloruhusiwa!!
Zile nyumba kule zilipo hazitakiwi kuwepo mkuu. Kuna matycoon (Dewji,Mengi etc) waliamua kujenga kule kwa sababu kuna mandhari mazuri ya beach kwa mbele,huku wakiziba mkondo wa Maji unaoingia baharini ( salender bridge).
Zile nyumba ilikuwa zibomolewe muda mrefu tu Ila Kama unavyojua hawa vigogo huwa wanatumia msemo wa " Penye udhia penyeza Rupia" ipasavyo. Ila awamu ya 5 wataipenda.
 
hii bomoa bomoa hii....watu watanunua uchawi. Jengo umelikamilisha kwa miaka 10... unahamia tingatinga hili !!! hatari sana.....
 
Angeanza na hilo la ajira wengi wangemuelewa, hili la bomoabomoa si zani kama kuna yoyote anaefaidika.
Wengi wanapata hasara ya kuvunjiwa nyumba zao baada ya kuruhusiwa kujenga na serikali iliyopita. Uonevu huu.
 
KUna jamaa kajenga open space nishamwambia bwana anza kuhama anasema aa wapi maafsa ardhi nishawaweka sawa.
Ngoja itakula kwake
 
Back
Top Bottom