Nyumba ya kupangisha inauzwa Kigamboni Dar

billz949

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
311
71
Nyumba ya kupangisha yenye vyumba nane inauzwa Kigamboni Kisiwani.
Hati zote zipo.
Nyumba iko kwenye usalama na barabara inapita nje ya nyumba.
Iko kwenye kiwanja chenye ukubwa wa mita 24 kwa 20.
Bei ni milioni 150 na maelewano yapo.
kwa mawasiliano na maelewano nitafute kwa 0656497469
Nasumbuka kidogo kuweka picha so plz kama umekuwa interested nitafute nitakutumia kwa whatsapp
 

Attachments

  • 20150510_090352.jpg
    20150510_090352.jpg
    401.5 KB · Views: 97

Similar Discussions

Back
Top Bottom