Nyumba ya kupanga inahitajika.

VAMPA

Member
Dec 19, 2011
61
4
iwe na vyumba vitatu vya kulala kimoja kiwa master,iwe na uzio, pia parking ya gari ya kutosha. iwe maeneo ya ubungo, kimara mwisho mbezi.
bei yake isizidi laki tatu kwa mwezi
ninahitaji haraka.
mawasiliano, 0654515490: pia ni pm kama unaona ni rahisi.
 
hiyo nyumba unayotaka dhamani yake ni Tsh 100m sasa ukilipa laki 3 kwa mwezi kama ni biashata italipa baada ya miaka ya miaka 30. hujui bei ya nyumba. labda kama unataka vyumba vitatu no cordo, nodining, no sitting. toilet nje
 
Hiyo Tsh 100m umeipataje? Na kama bei yako ni zaidi ya laki 3 kwa nini ukoment?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom