Nyumba ya kupanga Arusha

Kiuti

New Member
Sep 7, 2014
4
0
Salamu nyingi wadau wa Jamii forums.
Kuna nyumba ya kupanga kwa Mworombo, Arusha (6km) kutoka City center. Ni nyumba yenye vyumba vitatu (3) Master moja+vyumba viwili vya kawaida na sebule kubwa sana. Ina jiko kubwa na uzio na usalama ni wa hali ya juu. Nyumba inapangishwa kwa Tshs 200,000/- tu kwa mwezi. Kodi inalipwa kwa miezi mitatu mitatu.

Pungufu moja la nyumba hii ni kuwa haina maji lakini ina matangi mawili (10,000Lts+2000 Liters) ambayo mpangaji anaweza kuagiza maji na kuyajaza kwa gharama yake.Hii nyumba ni mpya na ina umeme. Pia ipo mahali patulivu na usalama ni wa uhakika.

Ukihitaji hii nyumba basi piga simu kwa Gerald 0685612463 au 0719300277.

Nitakuwa tayari kukuonyesha hii nyumba wakati wowote.
 
Hallo,
nyumba ipo karibu na matofali ya kuchoma, unabranch hapo (upande wa kushoto) unafika mahali wanapouzia maji kisha unaingia kushoto utaona nyumba yenye kigae chekundu - ndio nyumba yenyewe. Ukipata shida kufika hapo mpigie jirani yangu 0717216228 atakusaidia kuiona maana kwa sasa nimesafikiri kidogo.

Pia unaweza kuwasiliana na mdogo wangu Gerald 0685612463 au 0719300277.
Nitashukuru kusikia kutoka kwako.

Asante.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom