Nyumba ya kisasa inauzwa bei powa kabisa

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
Ni nyumba nzuri , ina vyumba vinne vya kulala. sehemu ya chakula, jiko na kusomea.ujenzi wake umekomea katika hatua za mwisho kabisa. hivyo mnunuzi atamalizia matengenezo yake. bei yake ni 24,000,000/= Unaruhusiwa kulipa kwa awamu. ipo mbagara chamanzi. kwa anayetaka kununua 0657 14 5555, 0686 200 117.
nyumba[1].jpg
 
Dah Hii Nyumba ingekuwa mitaa ya mwanza....sasa hivi mkuu ungekuwa na cash yako mkononi...Mbagala sasa bei chee sana labda kuwe na reason ingine kabisa ya kuiuza either ina mgogoro au shida kuwa sana.

Kila la heri.
 
si ulikuwa unauza millioni 30,sijui 35????lol

mie nasubiri ishuke tena :happy::happy::happy::happy:
 
Good house, kama ni kulipa kwa awamu unataka angalau advance ya shs ngapi?
 
si ulikuwa unauza millioni 30,sijui 35????lol

mie nasubiri ishuke tena :happy::happy::happy::happy:

Jestina utakua umechanganya na ile ilikua either Kipunguni au Kitunda kama sijakosea
 
hiyo Jumba kama haina Mgogoro wa Urithi kweli??
kama vp ni PM nakukatia 2.5 mkononi!
 
umeme ni poa , unaweza kuvuta tu , kiwanja nafasi iliyopaki unaweza kujenga ukuta na ndani ukapaki magari 2

Hii iko high density area ila nina wasiwasi ni mbuzi ndani ya gunia. Be careful!!!! Ukiitaka hii nyumba ukishaiona we rudi taratibu kwa majirani wape soda upate story, ukiona story haina shida, rudi manispaa kafanye search maana anasema imepimwa!!! Halafu kabla hujanunua ulizia kama alinunua hiyo sehemu, kama ni ndiyo pata origina hati tena ile ya kienyeji i.e ya awali kabisa ya mtaa pale na ona viongozi wa mtaa wape soda watakupa story zote!!! Properties zina shida sana siku hizi hasa zinazotangazwa kwa bei ndogo!!!! Chukua maoni yangu kwa manunuzi ya properties hata kama si nyumba, you won't regret!!
 
uko sahihi . mimi ni dalali na nyumba hii tayari imeuzwa. vyote ulivyoandika wanunuzi wa kweli wamefifanya na wamelipa. Asante kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom