Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

Kama Polisi wameenda kwa Gwajima bila kibali, Gwajima ana haki ya kujilinda na hata kutumia silaha zake iwapo watataka kuingia kwa nguvu. Kwa undani zaidi, rejea 'The Waco Siege'. Polisi wetu wanapenda kufanya kazi kwa mazoea.
 
Polisi uwa wanapenda sana 'kuua mbu kwa rungu' na sehemu wanakotakiwa kutumia nguvu kama hiyo hutawaona kamwe!


Kazi ya polisi si kubeba mizigo kwa lzn watumie miguvu, kigezo hicho kilikosewa sana kwenye ku ajiri majeshi Tanzania.
 
Yaani Kova akita kula fedha za umma utamsikia tu, tukio dogo la kuita mtu kwa simu na akaja kwa gharama zake mwenyewe yeye anatuma defender 8, hapo utaambiwa wametumia mafuta mil 1 na posho za maaskari , mkuu wa msafara hata na fire na ambulance jumla mil 4. yaani nchi hii balaa , kila mtu anajipigia kivyake.
 
Kwanza ujue, Police wanavunja sheria mara kadhaa tu..ila hiyo isiwe excuse ya RAIA KUVUNJA SHERIA PIA... wao pia wanfuata sheria hadi kuja kukufuata..sbb hadi wakufikie kuna jambo umefanya kinyume na taratibu...so cha kufanya ukiwa Chini ya polisi ni kufauata utaratibu wao wanaotaka kisheria na kujitetea kisheria ukifika mahakamani...if ur innocent utakuwa huru tu...BUT JUA HILI VIZURI UKIJIONYESHA WW MBABE MBELE YA POLISI...UTASHINDWA TU...THT IS BOTTOM LINE

Sheria huvunjwa kwa maslah boss
 
Kama akina Sheikh Ponda wapo ndani kwa kashifa na Uchochezi, itakuwa ajabu kama Gwajima ataachiwa hivi hivi! No, No No! anahitaji adhabu.
 
Zaburi 105:14.Hakumruhusu binadamu yeyote awaonee,
Bali aliwakaripia wafalme kwa sababu yao,
15.Akisema: “Msiwaguse watiwa-mafuta wangu,
Wala msiwatendee manabii wangu lolote lililo
baya.”

Watiwa mafuta wangu, watiwa mafuta. Hivi nini maana ya watiwa mafuta?
 
Manny pac Vs MayWeather Jr...on 2 May 2015...don't miss it....

Go You tube...and search Manny pac song...dedicated for his FIGHT...as entrance song for tht fight...very emotional, touching song...!!!

Tuachane na Shetani Gwajima sasa...!!
 
Anadharau serikali.sasa lazima atambue serikali ipo na inafanya kazi.tunaomba wafuasi wake muwe watulivu suala hili lifanyiwe kazi.

hii serikali ingetambulika vizuri inafanya kazi kama ingekomesha mauaji ya albino, ingekomesha wizi wa mali za umma, ingekomesha ujangili, ingekomesha uuzaji kiholela wa raslimali za nchi, sasa kupeleka kundi la polisi kwa gwajima ndio kiashiria cha uchapakazi wa serikali?
 
Kama akina Sheikh Ponda wapo ndani kwa kashifa na Uchochezi, itakuwa ajabu kama Gwajima ataachiwa hivi hivi! No, No No! anahitaji adhabu.

Akina Sheikh Ponda wako ndani kwa Uchochezi!. Ni uchocheze gani kafanya Mchungaji Gwajima, au kumwambia Askofu pengo hakuwa sahihi kwenda kinyume na wenzake. Na kama ni hilo, tayari Mhe. Askofu Pengo kaisha samehe.
 
Back
Top Bottom