Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

Ndugu zangu embu tongeje tusikie ni kwanini wameenda nyumbani kwa askofu. Wote hamjui kwa hiyo si busara kurushiana maneno. Huwezi kujua wamefuata nini.

Hata wewe mwenyewe hujui unacho andika.

Ili uraia wa mtu uweze kujulikana utaratibu ni kuvamia nyumbani kwake kumkamata kumhoji kumuweka ndani kisha kumwachia.

Uhalali wa mtu kishi Tanzania ni pale anapokamatwa na Polisi na kukaa ndani siku 14 kisha kuachiwa???

This is the lowest of the lowest ways of thinking and tackling issues.

Hivi kama hujui kitu ukinyamaza inakugharimu nini?
 
Wadau kwa taarifa niliyoipata kutoka kwa mtu ninayemwamini anasema nyumba ya mchungaji gwajima imezingirwa na defenda za polisi za kumwaga.
More updates itafuata.

re-porisi nahisi leo watatoa gundu la kupanda hammer na chopa ....si unajua tena hizo makitu zimejaa tele kwa mzee wa misukule.
 
Huyu MH namkazia uso kwa sababu hajui anachoandika.
Kitendo cha kukubaliana na hatua ya Polisi ya kuvamia nyumba za watu na kuwakamata kwa madai wanawashuku si raia wa Tanzania ni kitendo kinachoonyesha uwezo duni wa kutafakari mambo.
Watu kama huyu Mh ni hatari kuliko hata kitendo cha polisi kuvamia nyumba za watu kihuni.
Kwa lugha nyingine uwepo wa watu wanaoshabikia kimoyomoyo UPUMBAVU wa Polisi wetu ndiyo asili ya nguvu ya kimya kimya ya polisi wetu kujaa kiburi.

Ndugu zangu embu tongeje tusikie ni kwanini wameenda nyumbani kwa askofu. Wote hamjui kwa hiyo si busara kurushiana maneno. Huwezi kujua wamefuata nini.
 
Kweli mdomo unaponza kichwa, hivi asinge
jifanya chizi sikuile na kumtukana Pengo haya yote yangemkuta???.
 
...wameamua kuzifuata nyaraka walizotaka kwa nguvu baada ya kukosa sharia inayowaruhusu kuzipata kukosekana...
 
Wamekuja bila taarifa wewe ni nani mpaka unasema wamekuja bila taarifa
 
Hawachelewi kujifanya wamekuta unga

anything is possible, au kuukuta wenyewe unga physically humo humo, by the way, it was a bit humiliating for Kova and our uniformed force yesterday when they showed a clear win way for Gwajima, he just had to save face and show who is the boss...
 
Huyu MH namkazia uso kwa sababu hajui anachoandika.
Kitendo cha kukubaliana na hatua ya Polisi ya kuvamia nyumba za watu na kuwakamata kwa madai wanawashuku si raia wa Tanzania ni kitendo kinachoonyesha uwezo duni wa kutafakari mambo.
Watu kama huyu Mh ni hatari kuliko hata kitendo cha polisi kuvamia nyumba za watu kihuni.
Kwa lugha nyingine uwepo wa watu wanaoshabikia kimoyomoyo UPUMBAVU wa Polisi wetu ndiyo asili ya nguvu ya kimya kimya ya polisi wetu kuja kiburi.

Serikali ya kifashisti
 
Acha tuendelee kuwa masikini. Defender 8 nyumbani kwa mtu, tena mtu ambaye angetumwa Polisi mmoja angeweza kumchukua na kumpeleka anapohitajika. Kwangu, haya ni matumizi mabaya ya resources pamoja na polisi kama human resources wetu! Tanzania tunaangamia kwasababu tunaoongozwa na viongozi wasio na maarifa. Jambo dogo kama la Gwajima kwao kubwa na mambo makubwa kama albino kuuawa, ajali barabarani, ufisadi, rushwa, n.k. kwao hayo ni mambo madogo!
 
Back
Top Bottom