Nyumba semi finished inauzwa mbezi

MARILYN

Member
Feb 23, 2011
96
15
nyumba inauzwa mbezi luis, ina vyumba vinne vya kulala na master mbili, sebule, jiko, dinning na store, ipo ndani ya kiwanja cha eka mbili kasoro, iko barabarani hivyo inafaa kwa biashara kama kufungua sheli, shule n.k
 
toa hata muongozo wa bei mkuu ili anaekupigia ajua pa kuanzia maongezi.otherwise watu wataogopa hata kukupigia wakidhani unauza mabilioni
 
nitumie e-mail adress yako please kwenye namba yangu 0714133562 ili niweze kukutumia picha na ramani

...hata tangazo lako basi ungewaomba watu wakutumie email zao ili uwatumie tangazo lako la nyumba inyaouzwa!:mad::A S 13:
 
hawa watu hawajui biashara za matangazo kabisa.
watu hamonani kwa nini usitoe taarifa zote ili kupunguza upungufu?
 
bei ni millioni mia tatu tu! unaruhusiwa kuja kuiona muda wowote, we nipigie simu nikuelekeze
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom