Nyumba kariakoo yagoma kubomoka

Mtei

Member
Jun 28, 2011
29
5
Nyumba ya shirika la reli namba 40 kariakoo imegoma kubomoka kila tinga tinga linalojaribu kuboa linaaribika. Source- chanel 10 Habari
 
kweli ile nyumba imegoma kubomoka. wameamua kuahirisha hadi siku nyingine. wamesema wataibomoa wakisha maliza kubomoa nyumba nyingine. action mart ndo wanaohusika na kubomoa nyumba za walala hoi.
kilicho nisikitisha ni jinsi serikali ilivyo harakisha. yaani imeshinda kesi jana jioni leo alfajiri wanakuja kubomoa. je hao action mart waliambiwa saa ngapi?
 
Hao Yono wamekula mlungula hapo, hakuna kipapai walawageni toka Sumbawanga hapo.
Waki leta longo longo ziwekwe explosives za Gongo la Mboto kieleweke.
 
kweli ile nyumba imegoma kubomoka. wameamua kuahirisha hadi siku nyingine. wamesema wataibomoa wakisha maliza kubomoa nyumba nyingine. action mart ndo wanaohusika na kubomoa nyumba za walala hoi.
kilicho nisikitisha ni jinsi serikali ilivyo harakisha. yaani imeshinda kesi jana jioni leo alfajiri wanakuja kubomoa. je hao action mart waliambiwa saa ngapi?

jana jioni.waki chelewa muna lalamika.hata kuwahi mulalamike?
 
huyo mwenye nyumba inabidi atafutwe...mawaziri wanaposaini mikataba ya madini,gesi,mafuta pen zigome.!
 
kweli ile nyumba imegoma kubomoka. wameamua kuahirisha hadi siku nyingine. wamesema wataibomoa wakisha maliza kubomoa nyumba nyingine. action mart ndo wanaohusika na kubomoa nyumba za walala hoi.
kilicho nisikitisha ni jinsi serikali ilivyo harakisha. yaani imeshinda kesi jana jioni leo alfajiri wanakuja kubomoa. je hao action mart waliambiwa saa ngapi?

Ww kweli kiazi, hivi ukihukumiwa kufungwa gerezani unaenda kwanza kujiandaa au hukumu inaanza maramoja..kweli kwa mwendo huu hatutafika
 
Umenikumbusha lile kaburi la iringa lilikataa nyaya za umeme zisipite juu yake
 
Back
Top Bottom