NYUMBA INAUZWA. (sasa bei imepunguzwa kwa aslimia kubwa)

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281

Ipo Kimara Temboni, si mbali sana kutoka barabara kuu ya kwenda Morogoro. Ina urefu wa futi 66 na upana wa mita 44. Ipo katika kiwanja chenye ukubwa wa sqm 2125 na kina hati miliki ya miaka 99. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja kikiwa masta. Chumba cha kusomea, sebure kubwa, dinning na jiko. Sehemu kubwa ya kiwanja imezungushiwa uzio. Bei sh 160mil. kwa mawasiliano 0717114409 au 0755312233
 

Attachments

  • PIC01280.JPG
    PIC01280.JPG
    49.4 KB · Views: 141
  • PIC01903.JPG
    PIC01903.JPG
    37.4 KB · Views: 173
  • PIC01917.JPG
    PIC01917.JPG
    54.1 KB · Views: 147
  • PIC01279.JPG
    PIC01279.JPG
    48.2 KB · Views: 118
  • PIC01898.JPG
    PIC01898.JPG
    46.7 KB · Views: 111
  • PIC01907.JPG
    PIC01907.JPG
    32.9 KB · Views: 111
  • PIC01910.JPG
    PIC01910.JPG
    54.1 KB · Views: 97
  • PIC01912.JPG
    PIC01912.JPG
    50.2 KB · Views: 88
  • PIC01896.JPG
    PIC01896.JPG
    56.9 KB · Views: 99
  • PIC01918.JPG
    PIC01918.JPG
    58.1 KB · Views: 85
  • PIC01894.JPG
    PIC01894.JPG
    42.4 KB · Views: 100
  • PIC01893.JPG
    PIC01893.JPG
    67.9 KB · Views: 98
  • PIC01911.JPG
    PIC01911.JPG
    49.7 KB · Views: 96
  • PIC01889.JPG
    PIC01889.JPG
    53.1 KB · Views: 98
  • PIC01901.JPG
    PIC01901.JPG
    27 KB · Views: 86
  • PIC01900.JPG
    PIC01900.JPG
    36.6 KB · Views: 78
  • PIC01895.JPG
    PIC01895.JPG
    30.4 KB · Views: 88
  • PIC01278.JPG
    PIC01278.JPG
    49.8 KB · Views: 89
  • PIC01904.JPG
    PIC01904.JPG
    40.9 KB · Views: 86
  • PIC01920.JPG
    PIC01920.JPG
    33.5 KB · Views: 111
ee bwana ihii nyumba si ipo karibu na kwa mama Lily temboni apo
ila shusheni bei kidogo mzee/fanyeni 75m ivi
 
kwanini unauza, tungependa kujua. pia, kama ulishawahi kumwita shee yahya azindike, pia tungependa kujua, kuna nyumba nyingi wengine wanazindika, watakapokuja kuuza, majini yanabaki palepale, yanaanza kula watoto, yanasumbua na hapakaliki. Mimi nimeipenda hiyo nyumba, na nilikuwa natafuta nyumba, ila niko makini sana katika ku assess ni ipi itakayonunuliwa. i wish you all the bests.
 
kwanini unauza, tungependa kujua. pia, kama ulishawahi kumwita shee yahya azindike, pia tungependa kujua, kuna nyumba nyingi wengine wanazindika, watakapokuja kuuza, majini yanabaki palepale, yanaanza kula watoto, yanasumbua na hapakaliki. Mimi nimeipenda hiyo nyumba, na nilikuwa natafuta nyumba, ila niko makini sana katika ku assess ni ipi itakayonunuliwa. i wish you all the bests.

Mwana wa Mungu,
Mimi nadhani umtafute mwana wa Mungu wa ukweli akapige maombi na mapambio eneo hilo hata kama mazindiko yapo yatakwisha na kuyeyuka kabisa.
 
Elezea kama nyumba haijawekwea bond mahali popote?? Kwa mantiki hiyo tukifanya search ardhi itakuwa clean?? Pia bei hiyo kwa huko Kimara ambako ni skwata hailipi. Ndiyo maana ndugu zanguni mnapataka kujenga nyumba angalia thamani ya mjengo wako na eneo unalojenga? Nyumba kama hiyo ingekuwa angalao maeneo ya Kijitonyama, Tegeta, Mbezi Beach, etc ingelipa zaidi kwani uwanja ni maridadi kabisa. Nashindwa kufungua picha nyinginezo.
 
nashauri kwa walio na pesa, wanunue hiyo nyumba, mji unaelekea hukohuko kimara kwasasa, hasa pale kibamba pakija kuwa na kituo cha basi kama wanavyosema, inaweza kuwa ni sehemu mojawapo ya kibiashara.
 
My untrained QS eye and brain does not see a house worth 160 million here...
 
bei hii kwa nyumba hii,mimi naona ni sawa.Kama mtu una uzoefu katika kujenga,utagundua kuwa nyumba kama hii ukitaka kuijenga kwa sasa,utatumia between 130M na 150m.Sasa kwa kua anauza ,anataka pia faida,na pesa ya kuwapa madalali,basi bei hiyo ni reasonable kwa watu ambao hawapendi suluba za kusumbuana na mafundi.Ila kumbuka nyumba ya kununua mara zote inakua a bit more expensive than kujenga mwenyewe.Ndo maana nasema,nyumba kama hii inawafaa wale wasopenda kusumbuana na mafundi au hawana muda wa kusimamia ujenzi.Hii nyumba pia,naona ina uwanja mkubwa.
 
Hii nyumba iko makini sana, sasa labda atusaidie tu mbona ameamua kuuza na inavyoonekana bado iko kwenye karatasi, isije ikawa imetokana na pesa za kifisadi.
 
mimi kama nanunua, nabomoa yoote, halafu najenga mjengo wangu. bahati mbaya sina wazo hilo kwa sasa, nimeahirisha. ila siwezi kukaa nyumba amenijengea mtu mwingine, nataka kujenga yangu kuanzia msingi hadi juu. manyumba ya kununua haya kwa uzoefu yana matatizo sana. labda hizo za kimala kwasababu ni mpya, we nenda kanunue nyumba kinondoni au magomeni, utanambia baada ya mwaka mmoja yatakayokupata, utasikia na wewe unaiuza tena. labda ujenge duka kupangisha kina mangi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom