House4Sale Nyumba inauzwa maeneo ya luhanga.....

MkamaShapu

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
317
169
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....

Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!

Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni.....

Bei ni mill 75

Maongezi yapo.....

Namba ya simu....0717 767875

IMG_2328.JPG
 
Hapo unauza eneo siyo nyumba, hilo jengo halina thamani ya hiyo pesa uliyoitaja
 
Ipo maeneo ya luhanga mkabala na shule ya kawawa.....

Eneo lifaa kwa ujenzi wa guest house, bar ,lodge au nyumba kubwa zaidi ya kupangisha!!!!!

Ni nyumba yenye eneo kubwa!!!! Na gari linafika mpaka mlangoni.....

Bei ni mill 75

Maongezi yapo.....

Namba ya simu....0717 767875

View attachment 826100
Mkuu acha utani nime zoom mpaka mwisho naona ukuta tu
 
Back
Top Bottom