Nyumba inauzwa bei poa!!!!

Status
Not open for further replies.
Unauza bei gani mkuu? pole kwa matatizo yanayokufanya uuze kwa dharula, toa maelekezo ya kutosha basi ikiwezekana na picha mbili-tatu
 
Watanzania hebu tujifunze kutangaza biashara!!! Siku hizi kuna ushindani so be creative otherwise ni kupigwa bao tu. Weka picha ya nyumba, facilities, price, na visifa kebekebe. Kwa mtindo huu, tumeshindwa.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom