NYUMBA INAPANGWISHWA MABIBO KANUNI(nyuma ya tip top)

yeto

Member
Aug 23, 2010
59
40
nyumba 2 vya kulala
sebule
choo na jiko viko ndani

ipo mabibo kanuni nyuma ya tip top

kuuliza piga 0768178989
 
nyumba 2 vya kulala
sebule
choo na jiko la ndani

ipo mabibo kanuni nyuma ya tip top

kuuliza piga 0768178989
 
nyumba 2 vya kulala
sebule
choo na jiko la ndani

ipo mabibo kanuni nyuma ya tip top

kuuliza piga 0768178989
Mbona unatuchanganya ni vyumba 2 au nyumba 2,pia hiyo Tip Top ya Mabibo ni sehemu gani au ndio ile ya Manzese na je rent yake kwa mwezi ni Tsh ngapi na je malipo yake ni kwa kila mwezi au miezi 3,au 6 au 12(kwa mkupuo mmoja)fafanua tafadhali
 
:rain:
nyumba za kupanga huwa zina bei fixed,wewe hujaweka bei unataka mpaka tuulize kwanza!
kwa nn unaendekeza uswahili chief
 
boss ni vyumba viwili sebule jiko na choo viko ndani, kwa maana unajitegemea kwenye upande wako,
hiyo nyumba ina pande mbili upande mwingine una mpangaji,

ipo mabibo kanuni ukipita kanisa la assemblies kama unaelekea manzese mtaa unaofuta (unaweza shukia kituo cha chama au tip top), bei (laki moja na elfu hamsini 150000tsh) kwa mwezi, malipo kwa miezi 6

wasiliana na mwenye nyumba no. 0768178989

ahsante
 
ewah hayo ndio maneno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom