Nyumba inapangishwa

nghoni

Member
Nov 29, 2013
11
2
Jamani nyumba hiyo unapangishwa ipo kiwalani ina vyumba 3 vya kulala,sitting room,jiko na choo ndani. Kodi ni 200000 kwa mwezi.
 

Attachments

  • 1396029079166.jpg
    1396029079166.jpg
    62.9 KB · Views: 450
barabara ipi ya kijiwe samli au minazi mirefu au bombom au ccm au km kwenda nyerere road
 
Kwenye kona km unaenda kijiwe samli pale kwenye tank na wanauza mbao kuna kona hapo ni nyumba ya sita kushoto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom