Penguin-1
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 406
- 64
specs:
Vyumba vitatu(1 master)
sebule kubwa(6 x5)
air condition(ac)
fan
madirisha makubwa
jiko + store
dining
kibaraza
uwanja mkubwa mbele
parking(garage)
fence + gate
miti ya kivuli
Pia kuna vyoo 2 vya nje siku ukiwa na shughuli
maji yapo:
-kunatank la lita 10000
-kisima(tanki) cha chini lita karibu 100,000
-kisima kingine cha chini lita 10000
-maji yanatoka mara 2 kwa wiki na kujaza matank hayo automatically
umeme:
Luku
-ipo mita 200 kutoka barabarani/kituoni
-kodi 450,000tzs kwa mwezi(majadiliano kidogo yapo)
-malipo ni kwa mwaka
-hakuna dalali
nipigie mimi mwenyewe ndio nipo hapa mjengoni
0655123683
0759123683
DIRECTIONS