Nyumba inapangishwa njiro arusha bei poa sana laki nne tu!!

Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,198
852
Narudia tena jamani wana JF napangisha nyumba maeneo ya njiro Nane Nane karibia na Uwanja wa Maonyesho ya kilimo TASO grounds, nyumba ina Sitting room, masterbedroom,study room,bedroom,kitchen. Car parking, imezungushiwa ukuta. Mkataba ni kuanzia mwaka mmoja. Dalali hahitajiki. Niungisheni basi wadau. Pia nakaribisha offers nyingine hiyo bei hapo juu siyo sheria ki hivyooo call me through 0713713198, strictly serious customers...I mean SERIOUS customers.
Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom