Nyumba Inapangishwa Mkuranga

Shakir

JF-Expert Member
Jul 31, 2012
1,602
1,819
Kwema humu,

Ninapangisha nyumba iko Mkuranga Ngunguti, Kilometa 1.2 kutoka Mkuranga Stand. Iko karibu na Shule ya Msingi Ngunguti.

Ni nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, kimoja kikiwa ni Self Contained, Public Toilet, Jiko, Dining na Sitting Room, Store pia.

Pia ina Nyumba ndogo ya Nje (Servant Quarter), Parking iliyojengewa (Garage Room), eneo kubwa mbele la kupaki gari hata 20, pia eneo kubwa nyuma la kuweza kuweka bustani au mifugo, vyote hivi viko ndani ya fence.

Nyumba inapangishwa kwa kodi ya TZS 300,000/= kwa mwezi na ninachukua kodi ya miezi sita. Mimi Ndio mmiliki wa Nyumba hii (Sio dalali). Kutakua na marekebisho madogo ya kurudia Rangi pale mpangaji atakapopatikana.

Kwa Mawasiliano zaidi, 0684 477 150
IMG-20200118-WA0052.jpg


IMG-20200118-WA0055.jpg


IMG-20200118-WA0047.jpg

IMG-20200118-WA0045.jpg
IMG-20200118-WA0051.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom