Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,061
- 281
Ipo karibu na Mbezi Luxury Resolt. Ina vyumba vitatu vya kulala. Kimojawapo ni masta bedroom. Ina jiko la kisasa na sebure kubwa. Kodo shilingi 450,000 kwa mwezi. Kuiona au kwa maelezo zaidi piga simu 0717114409.