Nyumba inapangishwa-kibaha mjini

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF jamaa yangu amenipa taarifa kuwa Ujenzi wake wa nyumba ya vyumba nane imekamilika kwa anayetaka kupanga
Nyumba hii ina
1-Maji
2-Umeme
3-Tank la kuifadhia maji
4-Choo cha kisasa viwili cha kukaa na kuchuchumaa vya nje
5-Bafu mbili za kisasa za nje
6- Jiko la nje
7-Ina face
8-Ina line za TTCL

Nyumba hii ni NDefu kwenda kwa juu hii ni kwa ajili kama wakati wa joto lisikuathiri kozi 10 lita kozi 4.

Inafaaa kwa: Kupanga mtu mmoja mmoja, Gest, Hostel, Au Kuishi familia wahi haraka vyumba


Wishes
piga simu kwa ustadhi-0713762661 uweke booking mapema
 
Wana JF wenzangu Heshima Mbele

Weka bei mkuu..

Napenda kuwaambia bei ya vyumba kama ifuatavyo
Kila chumba Tshs 45000/= ya chini Tshs 35000/= kodi mapatano mwaka au miezi sita kwa Nyumba Nzima Tshs 220,000/= kwa Mwezi.

Karibuni ni nyumba ya kisasa ya kuapnga karibuni mje mtathimini hapa kweli tupu.

Shirika,Mtu Binasfi na Wenye Shule wanaotaka Hostel tuwasiliane nimetoa namba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom