Ni ya vyumba viwili, sebule, jiko, stoo, ina choo cha ndani. Umeme na maji yapo, ina uzio, nafasi ya parking ipo kubwa.
Kodi ya mwezi sh 300,000/=, Malipo kwa mwaka. Karibuni sana.
Anayehitaji aniPM.
NB: Dalali haitajiki

weka picha mkuu
Mkuu, malipo kwa Mwaka!!! Na kama mpangaji atataka kuondoka kabla ya mwaka kuisha kodi ya miezi iliyobaki utarudisha? Nadhani imefika wakati hili swala la kulipa kodi ya miezi sita au mwaka liangaliwe upya. Nchi nyingi kodi ya pango hulipwa kila mwezi maana hata mishahara hulipwa kwa week/mwezi na wafanyakazi ndo wadau wakubwa wa kupanga![/QUOTE
Mkataba ni wa mwaka mzima, mpangaji kurudishiwa pesa yake au kutorudishiwa inategemea ni nani aliyevunja mkataba. Pia kuna nyumba kodi yake inalipiwa kwa kila mwwezi, kwa hiyo ni mpangaji mwenyewe anachagua.
Nimekuelewa mkuu. Naamini utapata watu mapema.
Mkuu, malipo kwa Mwaka!!! Na kama mpangaji atataka kuondoka kabla ya mwaka kuisha kodi ya miezi iliyobaki utarudisha? Nadhani imefika wakati hili swala la kulipa kodi ya miezi sita au mwaka liangaliwe upya. Nchi nyingi kodi ya pango hulipwa kila mwezi maana hata mishahara hulipwa kwa week/mwezi na wafanyakazi ndo wadau wakubwa wa kupanga!