nyuma ya pazia:wabunge na dada zetu wa UDOM

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kwa muda mrefu tumekuwa tukiwasema dada zetu wa vyuo vikuu hasa UDSM kuhusiana kimapenzi na wanafunzi wenzao au mapedeshe wa mtaani.kuna kipindi tuliwahi kusikia wanafunzi hawa kujiuza kimwili katika night clubs mbalimbali jijini dar.
Sasa hili tatizo limeamia dodoma mji ambao kwa mujibu wa spika wa bunge gharama za maisha zimepanda.
Shuhuda mmoja ambaye ni mwanafunzi wa UDOM amesikika akisema waheshimiwa wabunge wameacha ku chukua vyangudoa na badala yake wanawekeza miposho yao kwa dada zetu wanafunzi wa UDOM.muhabarishaji anasema hii inaweza kuwa ni sababu mojawapo ya wimbi kubwa la supp. Katika chuo hiki(karibu wanafunzi 1000 hupata supp kwa muhula)
ningeomba kusikia utetezi wa wanafunzi wa UDOM mlioko jamvini dhidi ya kashfa hii nzito.........
Nawasilisha.
 
Ni kweli hata mimi namjua mmoja anakula kichwa pale UDOM ila sababu kubwa ni dhiki na ugharama wa pale chuoni.Kuhusu sup inawafanyaje hadi kupelekea kubebwa na wabunge kwan wabunge ndo wanaowafundisha kuziondoa sup?
 
Back
Top Bottom