Nyuma ya pazia katika kesi zinazowahusu makada wa ccm

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Facebook wall ya heche.

" Mimi binafsi nilijua wazi juu ya hilo,kwani hata alipokamatwa na kura na kupelekwa polisi buguruni.Rais kikwete ndio aliyempigia simu mkuu wa polisi kwamba amwachie mara moja.Kama ilishakuwa hivyo nani anaweza kuwa juu ya rais,hata mahakama zinamuangalia rais kabla ya kutoa maamuzi yake.Pia niwape taarifa za ndani,imetolewa amri kutoka kwa mweshiwa kwenda kwa mahakimu wote wanaosimamia kesi zote zinazopiga matokeo ya ccm nchini kote kuhakikisha ccm inashinda kesi hizo.Yule hakimu aliyeipa ushindi chadema kwenye ile kesi sumbawanga,amerudishwa makao makuu na atapangiwa kazi nyingine kwa kukaidi agizo hilo.HII NI SAFARI,HUWEZI KUZUIA WATU WASISAFIRI KWA KUWA NI LAZIMA WATU WATASAFIRI.TUSONGE MBELE.PEOPLES,POWER."

kutoka kwa mwana jf mwenzetu
 
Kama siku yako ya kufa ikifika hakwepeki,sasa watanzania wanataka mabadiliko,kama lyibya vile.hata kwa kula majani ila lazima mabadiliko.
 
Ndiyo mapambano yalivyo tusife moyo kwan gharama za ukomboz zinahitaj kujitoa zaid, hakuna kificho kwa makongoro na mbinu zake chafu ila ipo siku tuyashinda haya magumu.
Mie naishi Tabata Kimanga diwan wetu ni mwanamama wa CHADEMA na pia nilipata kuongea na Mpendazoe nikamwambia awe makin na huyo mwizi wakati wa kujumlisha kura Anatogulo, huyu jamaa mpole sana ila pangekuwa na mwamba asingechezewa kiasi kile. Wakati wa saa mbili usiku umeme ulikatika tulikutana na polisi mmoja akasema aya jamaa anaibiwa
kura na saa sita siku hiyo hiyo mwizi katangazwa mshindi licha ya utata wa uchaguzi huo.Somo kwetu hawa tunaowapa dhamana ya kugombea tuteue watu hodari na hasa vijana walosoma tuwape vipaumbele.
 
Jana niliandika thread inayosema" MAHAKAMA KUBALLANCE KESI, CHADEMA TUJIANDAE KWA HILI" na leo kwenye kesi ya mahanga hili limejidhirisha na litaendelea kujidhirisha japokuwa watu ambao hawapendi kufikiri wanalipinga hili, wanachofanya CCM ni kuhakikisha wana-neutralize furaha ya ushindi wa CDM kama kule Arusha kwani hapa nchini mahakama zinatumika kisiasa na tusije tukashangaa endapo tutampoteza hata jj mnyika(ubungo) au opulukwa(meatu).
JEHOVA SHAMA MUNGU WA ISRAEL AEPUSHIE MBALI HUJUMA HIZI ZA MAHAKAMA. Amen.
 
Back
Top Bottom