Nyuma Mbezi Luisi Inauzwa

Columbus

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
2,002
648
Ipo Mbezi Luisi ina vyumba vinne vya kulala, sitting room, dinning,store,bathroom na toilet.Iko karibu na barabara ya Morogoro njia ya kuelekea Makabe.Iko Kilometer 1 hivi toka hifadhi ya barabara. Kwa muhitaji tuma pm
 
kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu
 
kwa nini unaona tabu kuandika bei?mfanya biashara unatakiwa ujiamini,ukiweka tangazo,ni vizuri uwe muwazi kwa kila kitu

Niliona kuweka bei haina maana sana kwa vile hujaiona; hata hivyo inauzwa kwa sh.40M, ni ya kumalizia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom