Nyoka wenye vichwa viwili

Najaribu kufikiria ukifika msimu wa kujivua gamba kwa nyoka wa aina hii inakuwaje. Nimeshawahi kuona picha ya nyoka akiawa anaanzia kichwani kujivua gamba. Je kwa nyoka wa aina hii, akianzia kichwani si gamba litakwamia kwenye maunganio ya vichwa? Unless labda aanze kujivua kuanzia mkiani.
 
Asante mkuu kwa picha. Anapatikana nchi gani huyu?

Hii inasababishwa na kitu kinachoitwa partial egg splitting. hapa unakuta yai lilikuwa na uwezo wa kugawanyika ili zipatikane embryo mbili ( mapacha) ila kutokana na kukosekana na hormone za kutosha kuligawa hilo yai basi ndio kiumbe kamahicho kikapatikana.

jaribu kutazama ANIMAL PLANET NA DISCOVERY.
Hivi unajua kuna nyoka wanao zaa?
 
kama kuna watu wanazaliwa wameunganika hadi vifua...i think hawa nyoka ni mapacha waliounganika miili na kutenganishwa vichwa....Mungu ameumba vya ajabu....ungekuwa wewe ungepata wap wazo la kuumba kitu kama hicho?....ndo mana hakuna kama MUNGU...:happy:
 
Back
Top Bottom