Nyodo za watu maarufu Tz...

Don Calvino

Senior Member
Mar 3, 2012
113
29
Habari zenu,hivi kwa nini baadhi ya watu wakishakuwa maarufu wanajiona hawawezi kusalimia/kusalimiwa na watu wa kawaida? Na pia huenda mmekua pamoja mpaka miaka ya karibuni ila watajifanya hawakujui,tukumbuke tulipotoka jamani...
 
Mh! Mi nilijua ni njia mpya ya kubisha hodi! Hii thread itakuwa bomba ikipelekwa complaints.
 
Umeanza na malalamiko, sijui hujapokelewa paleeeeeeeeeeeee getini?
Pole jamani, haya karibu upunguze hasira!
 
Back
Top Bottom