Nyie wanawake, hizi kauli zenu huwa mnatuonea!

Sawa mkuu karibu konyagi

Ama kweli wew ni mlimbwende wa shoka. huyo mbabe 'unamshusha mikono' peke ako? au upo na kampani?

Haya ebu mix na 'zanzi' kadhaa ili kibanda kiwake moto vizuri. lol
 
umetiririka mkuu, mimi nimekuelewa mnoo.....natumai next time nitakuelewa zaidi.
 
Lisemwalo lipo hakuna kusingiziwa hasa hasa ukijaribu kuunganisha matukio mbali mbali yaliyowai kutokea duniani
mimi naweza sema....
"Wanaume wote wamezaliwa na Usaliti! "
"Bora umsaidie nyoka aliyejeruhiwa kuliko kiumbe mwanaume"

Kweli, hata Hawa alikuwa mwanaume,
Kweli hata Delila alikuwa mwanaume,
Kweli wanawake sio kama nyoka
^^
 
'THE ONLY SIMILARITY BETWEEN MEN & RATS IS THAT BOTH THEY ALWAYS SEARCH FOR NEW HOLES'
Hatari sana
 
Lisemwalo lipo hakuna kusingiziwa hasa hasa ukijaribu kuunganisha matukio mbali mbali yaliyowai kutokea duniani
mimi naweza sema....
"Wanaume wote wamezaliwa na Usaliti! "
"Bora umsaidie nyoka aliyejeruhiwa kuliko kiumbe mwanaume"
inaonekana una uchungu mkali moyoni mwako. Nini kilikupata??
 
Back
Top Bottom