Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Jul 29, 2012 #4 Tatizo muda wa kulala yeye autumia kufanya mambo mengine.
mathematics JF-Expert Member Feb 21, 2012 3,323 1,105 Jul 29, 2012 #5 hiyo mbona kawaida tu, mbona tunafanya hzo sana tu kwa laptops!
Mu-sir JF-Expert Member Oct 12, 2010 3,621 1,629 Jul 29, 2012 #6 Sizinga said: Click to expand... Wakuu kuwa Engineer si mchezo kichwa kinakuwa bize hadi unasahau mambo mengine ambayo unaona sio nyeti kama hilo.
Sizinga said: Click to expand... Wakuu kuwa Engineer si mchezo kichwa kinakuwa bize hadi unasahau mambo mengine ambayo unaona sio nyeti kama hilo.
doup JF-Expert Member Feb 26, 2009 2,346 2,151 Jul 29, 2012 #7 problem solving, hata ukiwa fofo unafikilia majibu tu
MadameX JF-Expert Member Dec 27, 2009 7,792 3,848 Jul 29, 2012 #9 Mmmh lakini kweli huo ndo usahihi wa kuangalia tv while resting
LexAid JF-Expert Member Jul 5, 2011 1,931 772 Jul 30, 2012 #10 Angeweza kulala Vertical Position ningempa Masters kabisa!