maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,144
- 15,159
Mchumia tumbo yule tena wa uzeeni.Fatima anasema tunawafukuza waarabu bure eti hao waarabu wameweza kufanya Mapinduzi ya kiuchumi kwa muda mfupi sana,Sasa kwa nini baba ake alifanya Mapinduzi kumfukuza mwarabu,ebu kwanza akamuulize baba baada ya hapo ndio aje kutufundisha uzuri wa mwarabu.