Nyerere hakuwa Mungu Mtu!

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Nchi ina watu milioni 45 lakini cha ajabu kila kukicha kuna kampeni za kutaka kutufanya sisi tuamini kuwa bila mtu mmoja kuwa bila yeye tungekuwa hatujiwezi kabisa

mbaya zaidi watu waliosoma na kuelimika nao wameingia kwenye huu mkumbo wa kusahau kuwa kama taifa tunayo mihimili 3 tatu
ambayo haihitaji kuongopeana kuwa bila nyerere tungekuwa kwenye balaa etc

Hivi kweli kwenye karne hii ya 21 watu wamesoma na akili zao hawataki wenye mawazo mbadala hjuu ya huyu mtu yasemwe

inasikitisha sana

kama hamuamini kichwa cha habari cha hii thread kitabadilishwa sasa hivi ili kukidhi mawazo mgando ya baadhi ya watu
 
mbona hakijabadilishwa sasa mkuu? kwani nani kasema Nyerere alikuwa Mungu mtu au ndo wewe unasema hivo kwa kutumia kauli kanushi?
 
una lako jambo wewe! nani aliyesema kuwa Nyerere ni Mungu mtu? hivi hizo kampeni zenu mlizoanzisha za kumchafua mtazimaliza lini?
 
Nchi ina watu milioni 45 lakini cha ajabu kila kukicha kuna kampeni za kutaka kutufanya sisi tuamini kuwa bila mtu mmoja kuwa bila yeye tungekuwa hatujiwezi kabisambaya zaidi watu waliosoma na kuelimika nao wameingia kwenye huu mkumbo wa kusahau kuwa kama taifa tunayo mihimili 3 tatuambayo haihitaji kuongopeana kuwa bila nyerere tungekuwa kwenye balaa etcHivi kweli kwenye karne hii ya 21 watu wamesoma na akili zao hawataki wenye mawazo mbadala hjuu ya huyu mtu yasemweinasikitisha sanakama hamuamini kichwa cha habari cha hii thread kitabadilishwa sasa hivi ili kukidhi mawazo mgando ya baadhi ya watu
Mpaka sasa kichwa cha habari hakijabadilika ila tunakusaidia kuiweka hii thread yako jukwaa linalotakiwa
 
....Hivi nani aliyewahi kutamka kwamba Mwalimu Nyerere alikuwa Mungu Mtu? Unaweza kuuleta ushahidi huo hapa jamvini?
 
Asee huyu mzee wa watu kesha r.i p longtime na kama binadam yeyote alikuwa na mapungufu.
Hapa kuna matatizo kibao kwa sasa
hujayaona hayo unaleta maneno yako
ya hovyo hapa! Wewe ndo unamawazo hayo
mtu yeyote mwenye maendeleo anawaza mbele c kuwaza nyuma
usiturudishe nyuma
tuambie jinsi ya kujikwamua kwenye majanga haya makubwa
na ya kutisha yanayotuumiza kila siku....manake tanzania kwa sasa kila kukicha heri ya jana!

Daima mbele nyuma mwiko
 
Nyerere hana haja ya kupandishwa chati, yuko juu tu,
hakuwa mungu mtu alikuwa kiongozi mzuri mwenye vision, ilishapita alishamaliza, hatulinganishi na mtu yeyote wa sasa, haiwezekani. Alitumia opportunities za wakati ule, sisi sasa tunatakiwa kuacha kupoteza muda na kutumiamuda na nafasi zetu za sasa kujenga nchi yetu,
 
Huo ndo mwisho wako wa kufikiri? au ulikuwa unataka kutueleza nini?
 
They've been spending most their lives
Living in a pastime paradise
They've been spending most their lives
Living in a pastime paradise
They've been wasting most their lives
Glorifying days long gone behind
They've been wasting most their days
In remembrance of ignorance oldest praise
Tell me who of them will come to be
How many of them are you and me

Dissipation
Race Relations
Consolation
Segregation
Dispensation
Isolation
Exploitation
Mutilation
Mutations
Miscreation
Confirmation.......to the evils of the world
 
They've been spending most their lives
Living in a future paradise
They've been spending most their lives
Living in a future paradise
They've been looking in their minds
For the day that sorrow's gone from time
They keep telling of the day
When the Savior of love will come to stay
Tell me who of them will come to be
How many of them are you and me

Proclamation of Race Relations
Consolation
Integration
Verification of Revelations
Acclamation
World Salvation
Vibrations
Simulation
Confirmation.......to the peace of the world

They've been spending most their lives
Living in a pastime paradise
They've been spending most their lives
Living in a pastime paradise
They've been spending most their lives
Living in a future paradise
They've been spending most their lives
Living in a future paradise
We've been spending too much of our lives
Living in a pastime paradise

Let's start living our lives
Living for the future paradise
Praise to our lives
Living for the future paradise
Shame to anyones lives
Living in a pastime paradise
 
Nchi ina watu milioni 45 lakini cha ajabu kila kukicha kuna kampeni za kutaka kutufanya sisi tuamini kuwa bila mtu mmoja kuwa bila yeye tungekuwa hatujiwezi kabisa

mbaya zaidi watu waliosoma na kuelimika nao wameingia kwenye huu mkumbo wa kusahau kuwa kama taifa tunayo mihimili 3 tatu
ambayo haihitaji kuongopeana kuwa bila nyerere tungekuwa kwenye balaa etc

Hivi kweli kwenye karne hii ya 21 watu wamesoma na akili zao hawataki wenye mawazo mbadala hjuu ya huyu mtu yasemwe

inasikitisha sana

kama hamuamini kichwa cha habari cha hii thread kitabadilishwa sasa hivi ili kukidhi mawazo mgando ya baadhi ya watu

TUNAJARIBU KUANGALIA MAMBO ALIYOYAFANYA IN HIS ERA, THE LEGACY HE LEFT NA UKILINGANISHA WATU WA KIPINDI KILE, TUNA WATU WENGI WALIOSOMA KIPINDI HIKI ILA HAWANA VISION, NOT PATRIOTIC,hawana uchungu, hawana ethecs za uongozi, hawana compass which define true north of their leadership, AU WEWE UNATAKA KUTUTAJIA NANI MWENYE UWEZO ZAIDI YA NYERERE NA KAFANYA NINI ILI TUAMINI???FUNGUKA MTOA MADA!
 
Back
Top Bottom