Nyerere aliondoka na chichiemu yake??

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
MMMhhhh jamani jamni sisiemu hii sio ile kabisa wapendwa najiuliza nyerere alienda zikwa na sisiemu yake
mbona aibu zinazidi kuwatokea puani siku hadi siku ni wapi rais kikwete utakimbilia na aibu yakoo hii anyway kama wewe ni mpenda mabadiliko ya nchi yako chagua chadema bado ujachelewa ukichelewa sana ichague kwenye kura....mmmhhh hii aibu jamani kila sehemu wizi wizi sasa leo hii twaambiwa kura zimekutwa misituni sasa zuchaguzi mkuu mtazificha wapi???
 
Back
Top Bottom