Nyaraka za siri za Mwalimu Nyerere zilizohifadhiwa Oxford University kutolewa Dec 4, 2036

Kama Nyaraka za Siri za Viongozi Wetu Zinahifadhiwa Nje ya Nchi,Maktaba Zetu, Mwalimu Nyerere foundation nk wao wanahifadhi nini?

Pili hizo Nyaraka zinahusu nini hasa Hadi zitunzwe na kufanywa Siri Hadi 2036?

View: https://twitter.com/east_facts/status/1713866483082645917?t=2WJlB4aI2D_GpTVLkOe8rg&s=19

Kwanini Trump walimshitaki kutunza nyaraka za siri nyumbani kwake?

Nyerere alitunza nyaraka za siri za familia au za nchi?

Hizo nyaraka zinafanana hadhi yake kama nyaraka za wosia (Will)?

paschal Mayalla tufafanulie kisheria ikoje hii kama sio chanzo cha nchi za kigeni kuendelea kutudharau nchi za kiafrika?
 
Ni za yule katibu muhtasi wake mzungu ambaye ni pandikizi la mi 6
 
Back
Top Bottom