Nyaraka za siri kati ya Israeli na Marekani za kuwatoa Wapalestina kwenye ardhi yao zavuja

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,079
7,976
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.

Katika nyaraka hizo zinazodadafua jinsi Israel watakavyotekeleza mpango huo dhalimu wa kutaka kutakatisha jamii ya wapalestina (ethnic cleansing), Serikali ya Bibi inamuomba Biden msada wa US Dola bilioni 106 ili kufanikisha adhma yao ovu.

Moja ya Sehemu ya nyaraka hizo zinasema:

.."T̸h̸i̸s̸ c̸r̸i̸s̸i̸s̸ c̸o̸u̸l̸d̸ w̸e̸l̸l̸ r̸e̸s̸u̸l̸t̸ i̸n̸ d̸i̸s̸p̸l̸a̸c̸e̸m̸e̸n̸t̸ a̸c̸r̸o̸s̸s̸ b̸o̸r̸d̸e̸r̸ a̸n̸d̸ h̸i̸g̸h̸e̸r̸ r̸e̸g̸i̸o̸n̸a̸l̸ h̸u̸m̸a̸n̸i̸t̸a̸r̸i̸a̸n̸ n̸e̸e̸d̸s̸, a̸n̸d̸ f̸u̸n̸d̸i̸n̸g̸ m̸a̸y̸ b̸e̸ u̸s̸e̸d̸ t̸o̸ m̸e̸e̸t̸ e̸v̸o̸l̸v̸i̸n̸g̸ p̸r̸o̸g̸r̸a̸m̸m̸i̸n̸g̸ r̸e̸q̸u̸i̸r̸e̸m̸e̸n̸t̸s̸ o̸u̸t̸s̸i̸d̸e̸ o̸f̸ G̸a̸z̸a̸.”..

Pia inaaminika Israel inampango wa muda mrefu wa kuja kuwaondoa wapalestina wanaioshi West Bank na kuwapeleka Jordan.

Wakati hayo yakijiri Biden ameongea kwa simu jana usiku na Abdel El-Sisi wa Egypt.
Moja ya mambo kati ya mengi waliyozungumza ilikuwa ni kumpongeza El-Sisi kwa kuruhusu Misri kupitisha misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

Ikumbukwe Serikali ya Abdel Fattah El-Sisi iliingia madarakani mwaka 2013 baada ya mapinduzi yaliyojulikama kama "Arab Spring " yaliyoasisiwa na CIA ambayo yalipelekea kupinduliwa kwa serikali ya kidemokrasia Muslim brotherhood.
IMG_20231030_074717.jpg
 
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.

Katika nyaraka hizo zinazodadafua jinsi Israel watakavyotekeleza mpango huo dhalimu wa kutaka kutakatisha jamii ya wapalestina (ethnic cleansing), Serikali ya Bibi inamuomba Biden msada wa US Dola bilioni 106 ili kufanikisha adhma yao ovu.

Moja ya Sehemu ya nyaraka hizo zinasema:

.."T̸h̸i̸s̸ c̸r̸i̸s̸i̸s̸ c̸o̸u̸l̸d̸ w̸e̸l̸l̸ r̸e̸s̸u̸l̸t̸ i̸n̸ d̸i̸s̸p̸l̸a̸c̸e̸m̸e̸n̸t̸ a̸c̸r̸o̸s̸s̸ b̸o̸r̸d̸e̸r̸ a̸n̸d̸ h̸i̸g̸h̸e̸r̸ r̸e̸g̸i̸o̸n̸a̸l̸ h̸u̸m̸a̸n̸i̸t̸a̸r̸i̸a̸n̸ n̸e̸e̸d̸s̸, a̸n̸d̸ f̸u̸n̸d̸i̸n̸g̸ m̸a̸y̸ b̸e̸ u̸s̸e̸d̸ t̸o̸ m̸e̸e̸t̸ e̸v̸o̸l̸v̸i̸n̸g̸ p̸r̸o̸g̸r̸a̸m̸m̸i̸n̸g̸ r̸e̸q̸u̸i̸r̸e̸m̸e̸n̸t̸s̸ o̸u̸t̸s̸i̸d̸e̸ o̸f̸ G̸a̸z̸a̸.”..

Pia inaaminika Israel inampango wa muda mrefu wa kuja kuwaondoa wapalestina wanaioshi West Bank na kuwapeleka Jordan.

Wakati hayo yakijiri Biden ameongea kwa simu jana usiku na Abdel El-Sisi wa Egypt.
Moja ya mambo kati ya mengi waliyozungumza ilikuwa ni kumpongeza El-Sisi kwa kuruhusu Misri kupitisha misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

Ikumbukwe Serikali ya Abdel Fattah El-Sisi iliingia madarakani mwaka 2013 baada ya mapinduzi yaliyojulikama kama "Arab Spring " yaliyoasisiwa na CIA ambayo yalipelekea kupinduliwa kwa serikali ya kidemokrasia Muslim brotherhood.View attachment 2797590
Nyaraka za Siri halafu we wa tandale unazo
 
Wachana nao hao America uchumi wake unakwenda chini sana na Israel ndio bye bye kwanza walikuwa wanawalipia Hotel wakimbizi sa wanawambia wajilipie hali imekuwa mbaya sana.

Tuombe Mungu hi vita wasisimamishe hao viongozi wa kiarabu wanatumiwa na America, hi ndio Time nzuri ya kuwaondoa hawa kenge kama alivyo sema Mtume Muhammad time itafika watakuwa wanajificha mpaa nyuma ya mawe inakaribia.

Hana atakacho fanya zaidi ya kuvunja majumba nakuwauwa watoto na wanawake, vita vya chini kisha pigika hawezi kuingia tena, na silaha anazo tumia pia zinakatazwa kutokana na sheria ya UN

Sa tuontuoneUN watawachukulia hatua kama Putin kuitwa War Criminal, kitu ambacho sidhani kitatokea sababu UN iko chini ya America na Europe.

Dalili inavyo enda ya vita hata Europe watamuwacha America na huyo shoga wake Israel, sababu wanawaingiza kwenye matatizo

Hamasi pga hawa kenge wenye lana
 
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.

Katika nyaraka hizo zinazodadafua jinsi Israel watakavyotekeleza mpango huo dhalimu wa kutaka kutakatisha jamii ya wapalestina (ethnic cleansing), Serikali ya Bibi inamuomba Biden msada wa US Dola bilioni 106 ili kufanikisha adhma yao ovu.

Moja ya Sehemu ya nyaraka hizo zinasema:

.."T̸h̸i̸s̸ c̸r̸i̸s̸i̸s̸ c̸o̸u̸l̸d̸ w̸e̸l̸l̸ r̸e̸s̸u̸l̸t̸ i̸n̸ d̸i̸s̸p̸l̸a̸c̸e̸m̸e̸n̸t̸ a̸c̸r̸o̸s̸s̸ b̸o̸r̸d̸e̸r̸ a̸n̸d̸ h̸i̸g̸h̸e̸r̸ r̸e̸g̸i̸o̸n̸a̸l̸ h̸u̸m̸a̸n̸i̸t̸a̸r̸i̸a̸n̸ n̸e̸e̸d̸s̸, a̸n̸d̸ f̸u̸n̸d̸i̸n̸g̸ m̸a̸y̸ b̸e̸ u̸s̸e̸d̸ t̸o̸ m̸e̸e̸t̸ e̸v̸o̸l̸v̸i̸n̸g̸ p̸r̸o̸g̸r̸a̸m̸m̸i̸n̸g̸ r̸e̸q̸u̸i̸r̸e̸m̸e̸n̸t̸s̸ o̸u̸t̸s̸i̸d̸e̸ o̸f̸ G̸a̸z̸a̸.”..

Pia inaaminika Israel inampango wa muda mrefu wa kuja kuwaondoa wapalestina wanaioshi West Bank na kuwapeleka Jordan.

Wakati hayo yakijiri Biden ameongea kwa simu jana usiku na Abdel El-Sisi wa Egypt.
Moja ya mambo kati ya mengi waliyozungumza ilikuwa ni kumpongeza El-Sisi kwa kuruhusu Misri kupitisha misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

Ikumbukwe Serikali ya Abdel Fattah El-Sisi iliingia madarakani mwaka 2013 baada ya mapinduzi yaliyojulikama kama "Arab Spring " yaliyoasisiwa na CIA ambayo yalipelekea kupinduliwa kwa serikali ya kidemokrasia Muslim brotherhood.View attachment 2797590
Wabongo kumbe tupo.mbe kwa intelejensia

Heko😀😀
 
Mkuu vp naona vita imewashinda mmebakiza udini na propaganda
 
Wewe umezitoa wapi
 
hiyo sio siri ndugu yangu, ndio mpango kamili uliopo kwenye vichwa vya wayahudi wote duniani, na ndiko wanakoelekea. wewe tu ulikuwa hujui hilo.
 
Nyaraka za Siri kati ya Washington na Tel Aviv zinazozungumzia mpango mkakati wa kuwamisha mazima wapalestina kutoka Gaza kwenda nchi jirani ya Egypt katika jangwa la Sinai zimevuja.

Katika nyaraka hizo zinazodadafua jinsi Israel watakavyotekeleza mpango huo dhalimu wa kutaka kutakatisha jamii ya wapalestina (ethnic cleansing), Serikali ya Bibi inamuomba Biden msada wa US Dola bilioni 106 ili kufanikisha adhma yao ovu.

Moja ya Sehemu ya nyaraka hizo zinasema:

.."T̸h̸i̸s̸ c̸r̸i̸s̸i̸s̸ c̸o̸u̸l̸d̸ w̸e̸l̸l̸ r̸e̸s̸u̸l̸t̸ i̸n̸ d̸i̸s̸p̸l̸a̸c̸e̸m̸e̸n̸t̸ a̸c̸r̸o̸s̸s̸ b̸o̸r̸d̸e̸r̸ a̸n̸d̸ h̸i̸g̸h̸e̸r̸ r̸e̸g̸i̸o̸n̸a̸l̸ h̸u̸m̸a̸n̸i̸t̸a̸r̸i̸a̸n̸ n̸e̸e̸d̸s̸, a̸n̸d̸ f̸u̸n̸d̸i̸n̸g̸ m̸a̸y̸ b̸e̸ u̸s̸e̸d̸ t̸o̸ m̸e̸e̸t̸ e̸v̸o̸l̸v̸i̸n̸g̸ p̸r̸o̸g̸r̸a̸m̸m̸i̸n̸g̸ r̸e̸q̸u̸i̸r̸e̸m̸e̸n̸t̸s̸ o̸u̸t̸s̸i̸d̸e̸ o̸f̸ G̸a̸z̸a̸.”..

Pia inaaminika Israel inampango wa muda mrefu wa kuja kuwaondoa wapalestina wanaioshi West Bank na kuwapeleka Jordan.

Wakati hayo yakijiri Biden ameongea kwa simu jana usiku na Abdel El-Sisi wa Egypt.
Moja ya mambo kati ya mengi waliyozungumza ilikuwa ni kumpongeza El-Sisi kwa kuruhusu Misri kupitisha misaada ya kibinadamu kwenda Gaza.

Ikumbukwe Serikali ya Abdel Fattah El-Sisi iliingia madarakani mwaka 2013 baada ya mapinduzi yaliyojulikama kama "Arab Spring " yaliyoasisiwa na CIA ambayo yalipelekea kupinduliwa kwa serikali ya kidemokrasia Muslim brotherhood.View attachment 2797590
Source..?
 
Jordan ,misri na mataifa mengine kukataa wapalestina watu wanaona kama hawana akili😀😀.

Hao jamaa wanajua kuwachukua Palestine pale ni sawa na kusaidia mpango wa wayahudi wa mchongo kutawala nchi yote.
Na kweli maana wapalestina wenyewe ndo hawa 👇👇👇👇👇👇👇wamefikia hatua ya kuvunja maghala ya misaada na kujichukulia vitu wenyewe yaan hakuna tena kupewa kwa utaratibu
Screenshot (910).png
 
Ina maanisha nn !?na misaada ilizuiwa !!
Njaa kali sana kwa wapalestina wa Gaza imebidi waanze kupora misaada maana wanaona kufuata utaratibu kunawachelewesha lakini kingine inaonekana misaada haitoshi so mwenye nguvu ndo ana chances ya kugombania na kupata
 
Kwani kuna tatizo ?
 
Jordan ,misri na mataifa mengine kukataa wapalestina watu wanaona kama hawana akili.

Hao jamaa wanajua kuwachukua Palestine pale ni sawa na kusaidia mpango wa wayahudi wa mchongo kutawala nchi yote.
ila wapalestina walikuwa na eneo kubwa mwaka 1948 ila njaa zao zimewafikisha hapa walipo
 
Back
Top Bottom