Nyalandu apinga Katiba inayopendekezwa

Sitaki kuamini kama hii ni kweli, gazeti la lini? mwenye nalo atuwekee hapa?
habari ndiyo hiyo mkuu , Nyalandu ameamua kutubu , muda si mrefu utamsikia samuel naye akija na neno lake , " NILISHINIKIZWA "
 
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.

Chanzo:Nipashe

Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?

Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
Picha halisi ya kura ya wazi wakati wa bunge la katiba. Wajumbe hawakuwa huru kutoa uamuzi wao. Hoja ya mwenyekiti ccm kuwashughulikia waliohujumu chama ni falsafa ile ile ya kumshangilia mfalme kavaa suti kumbe yuko uchi. Wapeni watu uhuru, utayajua ya moyoni mwao.
 
Point!!
 
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.

Chanzo:Nipashe

Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?

Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
Ukiwa ktk kundi LA Simba unakua Simba ukitoka unarudi kuwa mbwa
 
Gazeti la nipashe linaripoti kwamba Lazaro Nyalandu anakuwa kada wa kwanza wa ccm kujitokeza hadharani kupinga mchakato wa katiba inayopendekezwa .

akielezea mchakato huo katika akaunti yake ya Tweeter , amesema rasimu mpya inahitaji marekebisho makubwa kabla ya kupelekwa kwa wananchi .

Ama kwa hakika ukishangaa ya Musa basi utayaona ya firauni .
Hivi wakati ule alipga kura ya kukataa au kukubali? Aache unafiki!
 
Mbali na kusigina maoni mazuri ya wananchi na kuteketeza kiasi kikubwa cha pesa, la kupigisha kura marehemu nadhani ndio laana kubwa kuliko zote na waliofanya hayo laani hiyo itawarudia!
 
habari ndiyo hiyo mkuu , Nyalandu ameamua kutubu , muda si mrefu utamsikia samuel naye akija na neno lake , " NILISHINIKIZWA "
Kweli AISEE. Na Makamu naye atasema: Nilipokuwa Naibu supika "Sikuwa naona wala kusikia vizuri"! Wajage tu watubu na kweli itawaweka huru!
 
Aliekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu,ameripotiwa kupinga Katiba inayopendekezwa.

Chanzo:Nipashe

Nachojiuliza hivi leo hii huyu bwana angekuwa waziri angetamka maneno haya?

Wanasiasa kuona ufalme wa Mungu ni vigumu kuliko Ngamia kupenye kwenye tundu la sindano.
Leo hii amekuwa shujaa wa makamanda rasmi.
 
hapa kajizolea sifa kwa kupinga katiba mpya. Kumbe kupinga ni hulka yake. Aende nyumbani.
 
Back
Top Bottom