Nyalandu anagawa kadi za CHADEMA misibani Singida

Kanyunyu

JF-Expert Member
May 2, 2012
335
495
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .

Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .

Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .

Nawasilisha
FB_IMG_1559654552196.jpeg
FB_IMG_1559654535514.jpeg
 
acha ujinga wewe, fanya kazi upate kipato cha kukariri vitu vilivyokushinda
 
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .

Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .

Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .
Wamechelewa kidogo.
Lakini ni bora kuchelewa na kufanya, kuliko kuchelewa na kutofanya kabisa.

Aongeze spidi. Hiyo ndio maana ya kuwa mwanasiasa, kutafuta njia yoyote kufikisha ujumbe kwa wahusika. Wahusika wakikataa kufikiwa kwa njia hiyo, sidhani kuwa atathubutu kuendelea na njia hiyo.

Wakati huu vyama hivi vinatakiwa kufanya hivyo kila sehemu nchini.

Ngoja niulize kwa anayejua jibu. Hivi Wenje alikufa au aliondoka CHADEMA alipopoteza jimbo? Ni swali tu, nikipata jibu nitashukuru. Wapo wengi wa aina hiyo ambao ningewataja kwa swali hilo. Nimeamua kumtaja Wenje leo kama mwakilishi wao.
 
Inaonekana sasa Lazaro Nyarandu amelikamia jimbo lake la zamani la Singida kaskazini kwakuwa amepiga kambi jimboni wiki tatu sasa anaenda nyumba kwa nyumba, kijiji kwa kijiji na kufanya vikao vya kushtukiza katika maeneo tofauti, wanagawa kadi za Chadema na kuandika majina na namba za simu za kila wanayempa kadi .

Sasahivi anatumia mtindo mpya wa kuhudhuria misiba na huko ndiyo anagawa kadi nyingi kwa wananchi. Je huu utaratibu wa kugawa kadi za chama misibani unaruhusiwa ? Au siasa ni popote .

Naambatanisha ushahidi wa picha Nyarandu akigawa kadi msibani huko mangida singida kaskazini .

NawasilishaView attachment 1117637View attachment 1117638
Tutaamin vip kua hapo ni msiban?
 
Ngoja makamanda wamtapeli akishaishiwa atatulia
 
Acha uzushi ila makada wako uchwara walipotinga kwenye mazishi ya aliyekuwa mwenyekiti wa IPP na mavazi yao ya kijani hilo hukuliona na hukulalamika,elewa hii ni nchi yetu wote sio wateule wachache wanaoshabikia pale Lumumba,ipo siku kila mmoja wetu humu atakuwa na furaha,just imagine our country inakuwa na JUDICIARY huru,freedom of expression,freedom of press,NEC huru,social services zinazofanya kazi etc etc ,tutafika huko
 
Back
Top Bottom