Nunua generator hii

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Nauza generator ndogo mpya , njoo uicheki , inafaa kusukuma maji, kuwasha umeme na matumizi yako mengine yoyote Mahali Popote, bei laki 2 na ishirini na 5 tu, nitafute,uje kwangu uicheki.
 
Aina gani nas unapatikana wapi?.. Sio ''hujintao min yao''. Otherwise its seems to be a nice deal
 
mkuu weka na specification zake ili mtu aijue au hujui elimu ya matangazo ya biashara nini na picha pia ni muhimu..

Aina ya tiger na powerfull watts 850, uwezo wa kusukuma maji, nakuwasha umeme mahali popote uendako
 
Aina ya tiger na powerfull watts 850, uwezo wa kusukuma maji, nakuwasha umeme mahali popote uendako

Tiger? Teh, teh,teheee..,Jamii forum kuna mambo.....hiyo mkuu inatengenezwa na watoto wa darasa la nne wa China kwenye mitihani yao ya Kazi za Mikono,si unakumbuka hapa kwetu huwa tunachonga mwiko na kupata maksi 90, kwa hao wachina mtoto anapewa maksi 30 kwa kutengeneza generator ya Tiger!
 
Hii generator inatumika sehemu nyingi tu na watu wengi wanatumia kufanya shughuli zao za kila siku,haihusian na hayo maalezo JUST GOOGLE "tiger generator" utaiona kampuni, karibuni sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom