Nungaembe

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,803
637
Hili neno lilivuma sana enzi za utoto wetu tukawa tunatania watu shuleni hivi kwa nini serikali ililipiga marufuku? nakumbuka kuna wimbo ulikuwa unaimbwa wanawake wazuriwazuri wameolewa. Mpaka sasa sisikii hata likitajwa.
 
haa Nguli kumbe serikali imelipiga marufuku ndo maana siku hizi silisikii tena
 
Hili neno lilivuma sana enzi za utoto wetu tukawa tunatania watu shuleni hivi kwa nini serikali ililipiga marufuku? nakumbuka kuna wimbo ulikuwa unaimbwa wanawake wazuriwazuri wameolewa. Mpaka sasa sisikii hata likitajwa.
..Nguli, how old are u'?
 
Kwanini unaulizia umri wangu?
...Najaribu kuangalia ni kipindi gani hilo neno la nungayembe na sio nungaembe kama ulivyoweka wewe lilipotoholewa na baadaye kuimbwa na na wale vijana wa Ngoni Group its hardly ni miaka 7 au 8 iliyopita. Sasa unaposema mlikuwa mnalitumia kutaniana shuleni sijui shule ipi hiyo? Maana for a grown up person na mwenye hekima zake si rahisi sana kumtania demu kuwa ni nungayembe unless uko darasa la 3 people can understand!!
 
Yah its true hili neno nahisi lina miaka kama sikosei 5 au 6
 
...Najaribu kuangalia ni kipindi gani hilo neno la nungayembe na sio nungaembe kama ulivyoweka wewe lilipotoholewa na baadaye kuimbwa na na wale vijana wa Ngoni Group its hardly ni miaka 7 au 8 iliyopita. Sasa unaposema mlikuwa mnalitumia kutaniana shuleni sijui shule ipi hiyo? Maana for a grown up person na mwenye hekima zake si rahisi sana kumtania demu kuwa ni nungayembe unless uko darasa la 3 people can understand!!

Hivi definition ya shule inasemaje?labda kiswahili sifahamu.
Mtu aliuliza swali kwenye somo la luga mwl akamwambia hilo neno halitakiwi basi tangu siku hio tukawa tunamwita hivyo kama ilivyo kawaida kwa wanafunzi.
 
Kwa wengine shule ni darasa la kwanza mpaka la saba A.
 
...na ndiko ambako unaweza kumuita demu nungayembe au ukamuandikia barua ya I lavu yuu unachora na mkuki unatoboa moyo....Kuna shule nyingine unaweza kufanya hayo??
 
Nani kamwita demu nungaembe?

"ur mind is like parachute it works better when its open"
 
Back
Top Bottom