Mnataka serikali iwasaidie Kwani Mlipokuwa mnanichagua nilisema nitaleta tetemeko..!?? haa ha ha....
 
1. Fomu nilichukua mwenyewe, sipangiwi cha kufanya.
2. Gazeti, ukurasa wa kwanza, wa pili mimi simo ila anaandikwa mwenye kutoa bastola hadharani tu.
3. Nyie wamiliki wa vyombo vya habari hamna uhuru mnaofikiri mnao.
4. Wamiliki wa vyombo vya habari, watch out
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom