Ntampata wapi kama huyu...

charminglady unataka uwe nao wangapi? wewe si ni Bujibuji jamani? Mwache Mentor aendelee na kumtafuta wa kumfaa

charminglady..ndo nini tena hiki sasa!?? hata vetting haijaanza?

Well said,hilo nalo neno ila wa hivyo labda umtengeneze wa kwako

Baba, ni kweli MwanaFA alisema, "..kata mgomba uufiche"

Mentor too much theories bana just amua and utaona.
hivi huoni dada zako jamani tunavyoish ama unafikiri tuliondoka home na akili za mama ama mama yetu ndo alilea kwa maadili pekee??

Dada wewe...kwakweli zaidi yako, dada wa Kinondoni na wale wadogo home aisee sijaona mwingine...ntafutie basi awe mwalimu/mwanasheria/dokta!!!:A S shade:

kumpata unayemtaka kwa kupitia macho na maneno ya watu utasubiri sana rafiki weka kitu ndani ujionee mwenyewe

Heee Ummu, hapo si ni sawa na kukanyaga bomu and expecting halitakulipua wangu!??

Nami namtafuta, Mentor. Ukimpata, nitumie pepa nipige chabo.

Haha...i will buddy. And likewise ukimpata kabla yangu nijue tu hiyo familia aliyotokea huenda ana dada yake.

mbona tupo wengi tu tatizo unapenda kutembelea yutch club.
Asnam, "It is good to test a man for sometime, but dont keep him waiting for that long" - Smile.

-mbona muda wote huu nakutongoza unankataa leo ndo unajifanya mpo!???
 
Last edited by a moderator:
charminglady..ndo nini tena hiki sasa!?? hata vetting haijaanza?

Baba, ni kweli MwanaFA alisema, "..kata mgomba uufiche"

Dada wewe...kwakweli zaidi yako, dada wa Kinondoni na wale wadogo home aisee sijaona mwingine...ntafutie basi awe mwalimu/mwanasheria/dokta!!!:A S shade:

Heee Ummu, hapo si ni sawa na kukanyaga bomu and expecting halitakulipua wangu!??

Haha...i will buddy. And likewise ukimpata kabla yangu nijue tu hiyo familia aliyotokea huenda ana dada yake.

Asnam, "It is good to test a man for sometime, but dont keep him waiting for that long" - Smile.

-mbona muda wote huu nakutongoza unankataa leo ndo unajifanya mpo!???

hahahaha kwamba mda mrefu unanitongoza nakataa,itakua mtongozo uliishia njiani ukafail rudia tena.
 
Mentor nimekuuliza hivi wafikiri mim na dada zako pekee ndio tuliokuzwa kwa wamama wenye maadili?? je kwann huamini kwamba kama mama yako alilea dada zako wakawa bora basi, hata mama wa wengine wamefanya hivyo kwa watoto wao wa kike??

kwanza nimeshagundua ukimpata mtu clean sana hutakuwa na challenge so hutoyajua maisha, pata mtu ambaye atakufanya utumie akili ipasavyo
 
553582_10151035310472243_687344054_n.jpg
Tembeza PMs kwa jamii Forums madames, ni ideal tu!
 
Mentor nimekuuliza hivi wafikiri mim na dada zako pekee ndio tuliokuzwa kwa wamama wenye maadili?? je kwann huamini kwamba kama mama yako alilea dada zako wakawa bora basi, hata mama wa wengine wamefanya hivyo kwa watoto wao wa kike??

kwanza nimeshagundua ukimpata mtu clean sana hutakuwa na challenge so hutoyajua maisha, pata mtu ambaye atakufanya utumie akili ipasavyo

Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili

- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya

- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga

- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?

- au nani sasa??!
 
Last edited by a moderator:
Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili

- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya

- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga

- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?

- au nani sasa??!
hahahaha Mlimani City penyewe napiga window shopping sembuse Italy,hebu niweke ndani usiwe na wasiwasi tutafanyia shopping k/koo na karume.
 
Last edited by a moderator:
Nani sasa...
- Evelyn Salt anayeniita mbahili

- Smile anayeona kila mwanaume ni mbaya

- Asnam anayetaka shopping Itally alafu tunaishi nyumba ya kupanga

- Kipipi anayetaka haki sawa ndani..yeye akipika mimi napiga deki?

- au nani sasa??!

Uoga tu unakusumbua.
Kwani ukipiga deki unakua kilema??

Will you stop that pliizz???
Kupiga deki ni kitu tofauti na kukusupport.
Ukinisaidia kupiga deki haimaanishi kuwa I can't help you achieve your goals as my husband.
 
Hiki Kizungu jamani.... Kha! Imenibidi nisome nikiwa karibu na feni na kipande cha barafu mdomoni. Hakyamungu!

ahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhahahahahhahahhaahhahaaaaaha
jamani jamani!
sasa kipande cha barafu cha nini tena jamani!
mweh!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom