NSSF na PPF kazi yenu ni nini??

kifaa

Member
Jul 9, 2010
14
0
Mazoea hujenga tabia,imekuwa kawaida kwa haya mashirika yetu leo nizungumzie haya ya NSSF na PPF,nianze kwa kuhoji kazi yao ni nini?,maana unakuta mfanyakazi unakatwa pesa zako kila mwisho wa mwezi ila hizo pesa hazipelekwi NSSF wala PPF na mmnakaa kimya,,,,NSSF na PPF kazi yenu ni nini??????
 
Kuziweka kwenye miradi kisha faida kukopesha viongozi....................wachangiaji watapewa pesa waliyochangia hata kama itachukua miaka 20 na Tshs itashuka dhamani.....
 
Mazoea hujenga tabia,imekuwa kawaida kwa haya mashirika yetu leo nizungumzie haya ya NSSF na PPF,nianze kwa kuhoji kazi yao ni nini?,maana unakuta mfanyakazi unakatwa pesa zako kila mwisho wa mwezi ila hizo pesa hazipelekwi NSSF wala PPF na mmnakaa kimya,,,,NSSF na PPF kazi yenu ni nini??????

NSSF ina office karibu kila Wilaya hapa nchini PPF vile office zao zinajulikana chukua hatua za makusudi watembelee watakueleza wanachofanya humu jamvini utapata majibu ndio lakini take trouble watembelee.
 
Adha ya hii mifuko utaijua ukifika umri huwezi kutembelea tena jamii hadi mjukuu alogin kwa password yako na akuandikie ndio utajua nini kazi ya NSSF, PPF etc
 
Back
Top Bottom